Tangazo lolote linalotolewa na UTUMISHI basi address yake inakuwa ile ya UTUMISHI, kwa hiyo tumia address ile ya kwao iliyopo pale chini ya tangazo.Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza,juzi tarehe 10 utumishi wametangaza ajira chuo cha ushirika moshi,Je kwenye barua address unatumia ile ya wao utumishi ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya
Msaada wenu tafadhali
Pls embu Post hilo Tangazo tulione??Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza,juzi tarehe 10 utumishi wametangaza ajira chuo cha ushirika moshi,Je kwenye barua address unatumia ile ya wao utumishi ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya
Msaada wenu tafadhali
Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCu) hakiajiri,tumia address ya anayekuajiri ambaye Ni serikaliHabari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza,juzi tarehe 10 utumishi wametangaza ajira chuo cha ushirika moshi,Je kwenye barua address unatumia ile ya wao utumishi ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya
Msaada wenu tafadhali
Wewe Ni mmoja wa watumishi wale wenye nongwa wa DUCE ?Ukipata hiyo kazi tusalimiane ukija Ushirika
Wala mkuuWewe Ni mmoja wa watumishi wale wenye nongwa wa DUCE ?
Hii Wala yako ina sounds Kama kwenye Movie ya Yesu😂 wale mitume waliomkana masiaWala mkuu
Hahaha hii inchi hii wengine wamepigwa na kitu kizito uko tume ya mahakamaWatu wamesha ajiriwa miezi mitatu uliyopita leo ndio wanatoa tangazo la ajira?
Mpaka nauliza ivyo nina sababu zangu zenye mashiko kuuliza ivyo,matangazo mengi yatokayo utumishi nimeona barua zao juu zina chata ya jamhuri ya bibi na bwana,sasa ilo tangazo ninayoizungumzia mimi juu wameweka adress ya muajiri,na chini mwishoni mwa barua pia wameweka adress ya muajiri,swali langu ndio lipo hapoTangazo lolote linalotolewa na UTUMISHI basi address yake inakuwa ile ya UTUMISHI, kwa hiyo tumia address ile ya kwao iliyopo pale chini ya tangazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni ivyo,sasa mbona kisanduku cha ajira portal kwenye tangazo unatuma kwao,ingekuwa ivyo wangetumia mfumo wa kama wanavotoa nafasi za kazi za halamashauri,tangazo wanatoa wao halafu kwenye apply hauionaMimi nipo hapa Ushirika... Nilipata nafasi ya kuongea na Dr. Mmoja hapa.
Alichonijibu ni kwamba MAOMBI UNATUMA AJIRA PORTAL KAMA KAWAIDA... THEN COPY UNAZITUMA KWENYE ADDRESS YA CHUO ILIYOPO KWENYE TANGAZO.
Karibu Moshi, ✍