Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya

Msaada wenu tafadhali
 
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza,juzi tarehe 10 utumishi wametangaza ajira chuo cha ushirika moshi,Je kwenye barua address unatumia ile ya wao utumishi ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya

Msaada wenu tafadhali
Tangazo lolote linalotolewa na UTUMISHI basi address yake inakuwa ile ya UTUMISHI, kwa hiyo tumia address ile ya kwao iliyopo pale chini ya tangazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pls embu Post hilo Tangazo tulione??
 
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza,juzi tarehe 10 utumishi wametangaza ajira chuo cha ushirika moshi,Je kwenye barua address unatumia ile ya wao utumishi ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya

Msaada wenu tafadhali
Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCu) hakiajiri,tumia address ya anayekuajiri ambaye Ni serikali
 
Watu wamesha ajiriwa miezi mitatu uliyopita leo ndio wanatoa tangazo la ajira?
Inamaana nao utumishi sasaivi wamekuwa waongo,lakini je icho usemacho ni kweli unauhakika nacho
 
Tangazo lolote linalotolewa na UTUMISHI basi address yake inakuwa ile ya UTUMISHI, kwa hiyo tumia address ile ya kwao iliyopo pale chini ya tangazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nauliza ivyo nina sababu zangu zenye mashiko kuuliza ivyo,matangazo mengi yatokayo utumishi nimeona barua zao juu zina chata ya jamhuri ya bibi na bwana,sasa ilo tangazo ninayoizungumzia mimi juu wameweka adress ya muajiri,na chini mwishoni mwa barua pia wameweka adress ya muajiri,swali langu ndio lipo hapo
 
Mimi nipo hapa Ushirika... Nilipata nafasi ya kuongea na Dr. Mmoja hapa.

Alichonijibu ni kwamba MAOMBI UNATUMA AJIRA PORTAL KAMA KAWAIDA... THEN COPY UNAZITUMA KWENYE ADDRESS YA CHUO ILIYOPO KWENYE TANGAZO.

Karibu Moshi, ✍
 
kama ni ivyo,sasa mbona kisanduku cha ajira portal kwenye tangazo unatuma kwao,ingekuwa ivyo wangetumia mfumo wa kama wanavotoa nafasi za kazi za halamashauri,tangazo wanatoa wao halafu kwenye apply hauiona
 
Address ya Utumishi P.O.Box 2320 Dodoma.....Asha Rose Building.....blah blah
 
Attachments

  • IMG-20220622-WA0000.jpg
    IMG-20220622-WA0000.jpg
    77.8 KB · Views: 15
  • IMG-20220622-WA0001.jpg
    IMG-20220622-WA0001.jpg
    58.3 KB · Views: 13
Habari zenu mabibi na mabwana,leo juzi Mocu wametoa mkeka kwa wasailiwa kuhudhuria usaili,ila kuna kada moja hawajaitoa,je hapo napo vipi yaani kada zote zipo kasoro kada moja tu haipo,maoni yenu wadau hapo
 
Back
Top Bottom