Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kada ganiHabari zenu mabibi na mabwana,leo juzi Mocu wametoa mkeka kwa wasailiwa kuhudhuria usaili,ila kuna kada moja hawajaitoa,je hapo napo vipi yaani kada zote zipo kasoro kada moja tu haipo,maoni yenu wadau hapo