Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Navyojua huyu dogo alisilimu ,pale azam wakristo wanaishi maisha ya tabu sana ukisilimu ishu inakuwa RahaKuna ka lugha huwa anakatumia wakati akifungua matangazo " Asalam......" Nadhani ndio kimewavutia zaidi wanazuoni hao kuona ansongea kiswahili Cha ndaaaaaaaani kabisa kiasi Cha kustahili tuzo kutoka kwenye taasisi hiyo ya elimu ya kidini
Kabla sijamaliza kusoma ni lugha ipi imemfanya atununkiwe na mimi nilijua ni kiarabuKuna ka lugha huwa anakatumia wakati akifungua matangazo " Asalam......" Nadhani ndio kimewavutia zaidi wanazuoni hao kuona ansongea kiswahili Cha ndaaaaaaaani kabisa kiasi Cha kustahili tuzo kutoka kwenye taasisi hiyo ya elimu ya kidini
Naomba CV yake.Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani.
Mpenja ametunukiwa cheti hiko leo kwenye Tamasha la Kimataifa la Utamaduni wa Mswahili na kumbukizi
ya Shaaban Robert lililofanyika mkoani Morogoro na kuratibiwa na chuo hiko cha MUM huku wadau wa Kiswahi kutoka ndani na nje ya Tanzania wakiwa ni sehemu ya wahudhuriaji.
View attachment 2859311
Mtangazaji wa AzamNaomba CV yake.
Kooo..baaazi.Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani.
Mpenja ametunukiwa cheti hiko leo kwenye Tamasha la Kimataifa la Utamaduni wa Mswahili na kumbukizi
ya Shaaban Robert lililofanyika mkoani Morogoro na kuratibiwa na chuo hiko cha MUM huku wadau wa Kiswahi kutoka ndani na nje ya Tanzania wakiwa ni sehemu ya wahudhuriaji.
View attachment 2859311
Nawaona wasomi wa MUM wanaotusumbua humu akina Malaria 2 Bwana UtamChuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani.
Mpenja ametunukiwa cheti hiko leo kwenye Tamasha la Kimataifa la Utamaduni wa Mswahili na kumbukizi
ya Shaaban Robert lililofanyika mkoani Morogoro na kuratibiwa na chuo hiko cha MUM huku wadau wa Kiswahi kutoka ndani na nje ya Tanzania wakiwa ni sehemu ya wahudhuriaji.
View attachment 2859311
Sidhani kama wagalatia wana wivu wa kishamba kiasi hichoHili pia litawatesa wagalatia
Subiri uone sasa