Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Hahaha haswaaaKuna ka lugha huwa anakatumia wakati akifungua matangazo " Asalam......" Nadhani ndio kimewavutia zaidi wanazuoni hao kuona ansongea kiswahili Cha ndaaaaaaaani kabisa kiasi Cha kustahili tuzo kutoka kwenye taasisi hiyo ya elimu ya kidini