Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MUM) chamtunuku Baraka Mpenja Cheti cha Kutambua mchango wake kwenye lugha na utamaduni

Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MUM) chamtunuku Baraka Mpenja Cheti cha Kutambua mchango wake kwenye lugha na utamaduni

Nimesikiliza redio lakini Mtangazaji ambae nakubali kiswahili chake ni marehemu EPHRAHIM KIBONDE Aisee mwamba alikua na kiswahili safi sana sijui ni mtu wa wapi.Endelea kupumzika kwa Amani...Pia mwamba wa Umalila Baraka Mpenja anadesrve hiyo tuzo hongera kwake
 
Kuna ka lugha huwa anakatumia wakati akifungua matangazo " Asalam......" Nadhani ndio kimewavutia zaidi wanazuoni hao kuona ansongea kiswahili Cha ndaaaaaaaani kabisa kiasi Cha kustahili tuzo kutoka kwenye taasisi hiyo ya elimu ya kidini
Umenifurahisha sana,wewe sikuwezimAsalaaam
 
Sidhani kama wagalatia wana wivu wa kishamba kiasi hicho
Ptia sasa reply uone,
Asilimia 90% wanateseka sana, nilisema mimi wewe unawatetea bureee,
Pitia comment namba 7,8,14,17,18,20 nk nk

Vitu vidogo kama hivi vinawatesa, sasa wasikie ndio amekuwa mkuu wa wilaya kutokea azam, weeeeeeeee watavimabaajeeee
 
Hongera sana Baraka Mpenja

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeingia YouTube nika-searcch kusikiliza utangazaji wake. Unfortunately sijaridhishwa kuwa ni mtangaji mzuri. Kasoro kubwa ni kuwa sauti yake siyo natural. Yaani anatumia sauti na utamkaji wa maneno wa kuiga ambao watangazaji wengi wa Bongo huwa wanadhani ni lazima utamke hivyo. Ajaribu kujifunza kwa watu kama kina Charles Hilary. Unaongea na kutamka maneno kwa sauti na lafudhi yako ya asili.
 
Hamna kitu kama hicho
Kwani huzioni hizo coment wanazo toa wagaratia ? badala wampongeze Mpenja wao wamesha anza kuleta mijadara ya kidini na kejeli , hiyo tuzo angekuwa amepewa na chuo cha kanisa hizo kejeli ungeziona?

Kwani huzioni nyuzi zilizo jazana humu kuilalamikia Azam kwa kuwapendelea waisilam lakini huwezi sikia waisilam wakilalamikia ITV na Star vt kwa kuwapendelea wagaratia.

Kwani huoni Samia akifanya uteuzi jina likawa la kiarabu nyuzi zinaanzishwa kulalamika kuwa Samia ni mdini?
 
Nimeingia YouTube nika-searcch kusikiliza utangazaji wake. Unfortunately sijaridhishwa kuwa ni mtangaji mzuri. Kasoro kubwa ni kuwa sauti yake siyo natural. Yaani anatumia sauti na utamkaji wa maneno wa kuiga ambao watangazaji wengi wa Bongo huwa wanadhani ni lazima utamke hivyo. Ajaribu kujifunza kwa watu kama kina Charles Hilary. Unaongea na kutamka maneno kwa sauti na dhafuli yako ya asili.
Dhafuli ndo kitu gani wewe?
Huyu alikuwa mgalatia Sasa kabadili dini hapo azam sasa anajaribu kuzungumza kiarabuarabu hivi.
 
Kwani huzioni hizo coment wanazo toa wagaratia ? badala wampongeze Mpenja wao wamesha anza kuleta mijadara ya kidini na kejeli , hiyo tuzo angekuwa amepewa na chuo cha kanisa hizo kejeli ungeziona?

Kwani huzioni nyuzi zilizo jazana humu kuilalamikia Azam kwa kuwapendelea waisilam lakini huwezi sikia waisilam wakilalamikia ITV na Star vt kwa kuwapendelea wagaratia.

Kwani huoni Samia akifanya uteuzi jina likawa la kiarabu nyuzi zinaanzishwa kulalamika kuwa Samia ni mdini?

Kwani mum ni chuo kikuu,ile ni madrasa extension
 
Back
Top Bottom