Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Halafu ndio umetoka zako chuo na uko chuo umechapwa,unafika home tu mwanao nae anakuja kukulalamikia kuwa leo shuleni mwalimu fulani kanichapa,hapo wewe kama mzazi sijui utajibu nini ilo swali
 
Kwanza huwez kukutana ofisini na mtu kasoma Chuo cha Morogoro Muslim. Bahat mbaya kwa uchache sana utamkuta mmoja mmoja ktk Ualimu mashuleni, na uwezo wao wa akili ni mdogo sana. Hiko sio chuo bali ni kituo kinacho kusanya wapuuzi wengi na kuwapotezea muda.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanza huwez kukutana ofisini na mtu kasoma Chuo cha Morogoro Muslim. Bahat mbaya kwa uchache sana utamkuta mmoja mmoja ktk Ualimu mashuleni, na uwezo wao wa akili ni mdogo sana. Hiko sio chuo bali ni kituo kinacho kusanya wapuuzi wengi na kuwapotezea muda.
Ni madrasa iliyopewa hadhi ya chuo.
Kimsingi hata wenye imani yao wana kikimbia wengi wamejazana vyuo vya umma au vya kikristo wakipata elimu bora kabisa ya kuwafungua uwezo wao wa akili.

Pale ni utumwani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanza huwez kukutana ofisini na mtu kasoma Chuo cha Morogoro Muslim. Bahat mbaya kwa uchache sana utamkuta mmoja mmoja ktk Ualimu mashuleni, na uwezo wao wa akili ni mdogo sana. Hiko sio chuo bali ni kituo kinacho kusanya wapuuzi wengi na kuwapotezea muda.
Aseeee
 
Ebu ndugu yangu katika mnyezi mungu Melelani na cocastic muione hii maana wao wamekutana na Jafari, Ahmed Ally na mwalimu wa veta. Nawaambie wanitajie wengine wawili hawajajibu labda watatuongezea wengine.
 
Back
Top Bottom