Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Hichi kivumbi April kinaweza kuwa kwenye kilele nadhani hapo ndiyo patakuwa patashika nguo kuchanika, hebu tuendelee kula mtori nimesikia wanasema nyama zipo chini [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Mzushi [emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Corona is now unstoppable, kila kona naona watu wana barakoa, kwenye daladala ndio usiseme, tatizo naloliona watu hawazivai muda wote, utakuta mwingine kaivaa barakoa lakini pua na mdomo vyote viko nje, ukiuliza sababu nashindwa kupumua!

Sasa utashindwa vipi kupumua wakati kirusi bado hakijakuingia, hebu tusifanye mchezo kirusi kikuingie ndio ushindwe kupumua vizuri, tuchukue tahadhari, tuache sababu zetu za kiswahili.
 
Hii ni maalumu sana kwa ile mitaga ya pale Lumumba.

Pole pole tutaelewana tu.
 
Kila mwanaume mwenye two balls hanging between legs anatakiwa asimame atoe tahadhari na hatua za kisayansi za kuchukua kupambana na hili dubwana Corona.
 
naona huyu makamu wa chuo huria ,anajisahau.aliempa takwimu za kwamba ugonjwa umeshamili nchini Ni nani? hao wasomi anaodai akiwahesabu ambao wamekufa na covid tukimwambia atupe hiyo orodha atatupa? nadhani humu jf yumo,aandae majibu majibu sahh mapema kbsaa.
 
Back
Top Bottom