Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Ni kweli panaitwa bungo ila temporary headquarters ni kinondoni ambako mambo mengi hufanyika hapo
Kwa hawa wanao maliza form 4 ni kozi gani za cheti wanatoa!!? Website yao ipo complecated zinazo onekana kirahisi ni za bachelor na phd
 
Taarifa nzuri ila mwandishi ni mzushi. Hivi kuna nchi inaitwa jamhuri ya watu wa zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…