Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.

Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu micro-hydro-power, biogas,wind-power, solar-power, and zero emission.

Professor Joseph Andrew Kuzilwa, ni msomi na profesa mstaafu wa uchumi, umefundisha kwa mafanikio Mzumbe University kwa miaka 44, kwanini unakubali OUT kutumika kutakatisha elimu?

Faculty of Law of the Open University of Tanzania, inaongozwa na Dr. Rindstone B. Ezekiel (Dean of Faculty). Faculty yake, kuna options mbili za Entry qualifications (sifa za kujiunga)

Option (I); Two principal passes in: History, Geography, Kiswahili, English, French, Arabic, Fine Arts, Economics, Commerce, Accountancy Physics, Chemistry, Biology or Advanced Mathematics.

Option (II); Equivalent Qualifications: Awe na Diploma ya daraja la pili (second class diploma) katika masomo kadhaa (yametajwa). Lakini hakuna diploma ya centre for foreign relations.

OUT wanasema; and any other relevant Diploma recognized by OUT Senate with an average of ‘B’ or GPA of 3.0 with not less than four passes at “O” Level, or NVA LEVEL 3 with not less than four passes at O’ Level;

Programme Coordinator, Dr. Saphy Bullu, Nape anakidhi vigezo? Inawezekana hujawahi kumuona chuoni, Serial No ni 996. Registration No ni U22-412-0193, Index No ni S0144/0089/1996

Mwanafunzi Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) kupata udahili ni lazima awe na credits (C) mbili za kidato cha nne. Vyuo vikuu vingine vimeelekeza, masomo hayo ni History na English.

Pili, lazima mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria - Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika matokeo yake ya kidato cha sita awe amepata principal pass (D) mbili.

Endapo mwanafunzi atajiunga na mfumo wa ufaulu mfanano (Equivalent Qualifications) mwanafunzi anatakiwa kuwa na umiliki wa DIPLOMA yenye ufaulu wa GPA ya kuanzia 3.0 hadi 3.5 kwa vyuo vingine.

Na imeelekezwa, DIPLOMA hiyo iwe imepatikana katika kipindi cha miaka miwili tangu amalize DIPLOMA hadi kuomba kujiunga na shahada ya kwanza ya sheria (Bachelor of Laws (LL.B.)

Mtu huyu anayejiita Nape Moses Nnauye sifa hizo tatu tajwa hapo juu amekosa. Ni vigezo gani vya siri ambavyo anavyo vinamfanya kuwa mwanafunzi wa Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.)

Kwanini? Matokeo yake ya kidato cha nne (form four) hayajabeba credits (c) hata moja. Alipata division 4 ya alama 29. Hapo katikati amepambana kurejea mitihani yake lakini amegonga mwamba.

Nape Nnauye, alijiunga na Butimba Teacher Training College (BUTIMBA TTC) na kufanya mitihani yake ya kidato cha sita (form six), huko pia alikosa principal pass (D) katika matokeo yake.

Kuna changamoto muda aliotafuta hizo credits na kufanya mtihani wa kidato cha sita. OUT, chunguzeni. Matokeo ya Nape Nnauye O-level yaliyoka lini na akajisaji kama private candidate wa A-level lini?

OUT mnataka kumtetea Nape Nnauye kwamba, alijisajili kama private candidate wakati huo amekosa sifa za kufanya mitihani? Hilo linawezekana? Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) tutahitaji majibu.

Turudi kwenye hoja kuntu. Je, hizo credits alizipata? Alikosa. Amewezaje sasa kudahiliwa kusomea Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika chuo kikuu huria Tanzania (OUT)?

Kama Nape amekwenda OUT kwa kigezo cha DIPLOMA ambayo Nape Nnauye anasema anaimiliki kutoka chuo cha Kivukoni, kigezo kinakataa. Kutoka mwaka 2003 hadi 2023 ni miaka 20 imepita.

Kama vyeti vya Nape Nnauye vina mashaka, apewe huduma sawa na wenye vyeti feki walivyoshughulikiwa na utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Asihurumiwe.

Prof. Elifas Bisanda, ni Mwenyekiti Baraza la Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro, kwa alama hizo Nape Nnauye hatoshi kudahiliwa OUT, mpelekeni Morogoro Vocational Teachers Training College.

Prof. Elifas Bisanda, kwa kuwa ni mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, Bwana Nape Nnauye apelekwe Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, akatulie hapo.

Kwanini tunasema hivi? Hatusemi Nape Nnauye hatakiwi kusoma Chuo Kikuu Huria (OUT), HAPANA. Hoja ni kwamba, anatakiwa kuwa na ufaulu na vyeti vinavyoeleweka. Elimu yetu isifanywe bidhaa chafu.

Tunakubali, unaweza kufeli darasani, na hakuna tatizo na siyo hoja hapa, waziri kugushi nyaraka na vyuo vikuu kuingia katika mtego huo ndiyo maslahu ya umma yanapoguswa. Tunataka uthibitisho.

Kwa kuzingatia elimu ya Nape Nnauye. Hatuwezi kuwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ambaye vyeti vimeunganishwa na superglue. Elimu yake ni ya hapa na pale. Hatulitendei haki Taifa letu tukufu.

NB; Tunafuatilia kwa ukaribu zaidi, kubainu kama Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wametoa mkopo wa elimu ya Juu kwa Ndugu Nape Moses Nnauye. Tutawajulisha. Ahsante.

Mawasiliano ya The Open University of Tanzania HQ is found at Kinondoni DSM.... P.O. BOX 23409,KINONDONI +255 22 2668992 +255 22 2668756 vc@out.ac.tz au Twitter (X) @OUTtanzania

🏃🏿‍♂️🤺⛹🏾‍♂️🤾🏽‍♀️🏃🏽‍♀️⛹🏾‍♀️👩🏼‍🦯
Huu ni UFUKUNYUKU !
Nape ana hoja ya kujibu hapa, kazi kwake.
Ajitokeze hadharani na kujibu hoja hizi ili kuondoa tuhuma hizi za kuwa "Waziri kihiyo."
 
Na wakati wowote anaweza kuwa waziri wa elimu, viongozi wetu wanaufanya uongozi kama ndoa, mjinga, mwelevu, kichaa wote wanaoa.
Kama yule aliyesema kwenye mkutano wa kimataifa Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba
 
Ukiwa mwanaccm hicho ni kigezo tosha cha ufaulu, ndani ya CCM akina Nape wamo wengi hasa maprofesari.
 
Rafiki yangu ana BA(Economics Option) na MBA (Finance) zote za UDSM. Ana Div I Form Four na Div II Form Six PGM (Principal Passes D-E-D) lakini walimkatalia admission Faculty of Law Undergraduate ila Faustine Ndungulile na Nape Nnauye wakapewa admission.

OUT wajirekebishe.
 
Vetting ndio hii aliyoleta mwandishi. Inawezekana alifanyiwa ila yakafukiwa ila nahisi kuna mahali kakanyaga sio ndio unaona vetting halisi zinawekwa hadharani.
Aisee watu wanajua mpaka Registration number ahahahahah
 
Duh..braza Mdogo wangu Nape kakufanyia nn? Maana umempenyua mno!
 
Programme Coordinator, Dr. Saphy Bullu, Nape anakidhi vigezo? Inawezekana hujawahi kumuona chuoni, Serial No ni 996. Registration No ni U22-412-0193, Index No ni S0144/0089/1996

Mtu huyu anayejiita Nape Moses Nnauye sifa hizo tatu tajwa hapo juu amekosa. Ni vigezo gani vya siri ambavyo anavyo vinamfanya kuwa mwanafunzi wa Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.)

Turudi kwenye hoja kuntu. Je, hizo credits alizipata? Alikosa. Amewezaje sasa kudahiliwa kusomea Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika chuo kikuu huria Tanzania (OUT)?

Kama Nape amekwenda OUT kwa kigezo cha DIPLOMA ambayo Nape Nnauye anasema anaimiliki kutoka chuo cha Kivukoni, kigezo kinakataa. Kutoka mwaka 2003 hadi 2023 ni miaka 20 imepita.

Prof. Elifas Bisanda, ni Mwenyekiti Baraza la Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro, kwa alama hizo Nape Nnauye hatoshi kudahiliwa OUT, mpelekeni Morogoro Vocational Teachers Training College.

Prof. Elifas Bisanda, kwa kuwa ni mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, Bwana Nape Nnauye apelekwe Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, akatulie hapo.

Kwanini tunasema hivi? Hatusemi Nape Nnauye hatakiwi kusoma Chuo Kikuu Huria (OUT), HAPANA. Hoja ni kwamba, anatakiwa kuwa na ufaulu na vyeti vinavyoeleweka. Elimu yetu isifanywe bidhaa chafu.

Tunakubali, unaweza kufeli darasani, na hakuna tatizo na siyo hoja hapa, waziri kugushi nyaraka na vyuo vikuu kuingia katika mtego huo ndiyo maslahu ya umma yanapoguswa. Tunataka uthibitisho.

Kwa kuzingatia elimu ya Nape Nnauye. Hatuwezi kuwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ambaye vyeti vimeunganishwa na superglue. Elimu yake ni ya hapa na pale. Hatulitendei haki Taifa letu tukufu.
Mkuu peno hasegawa, kwanza nikupe hongera sana, you can make a very good IJ fellow kwa sababu Tanzania tuna waandishi wachache wenye uwezo huu, japo you did your homework well, but you have missed the point kuhusu dhima ya open university.

Naomba usikilize kwa makini mahojiano yangu na Prof. Bisanda.
View: https://youtu.be/MIJKOKI8MzM?si=Fgsi13P37NXcAQg5

Kisha msikilize
View: https://youtu.be/53jFg1S4dG8?si=FULPqGjkviJtc-AF
Humo utapata majibu yako yote,
Hivyo Nape anakidhi sifa zote na vigezo za kudahiliwa OUT kupitia utaratibu wao wa foundation course ili kukidhi viwango, na ndicho kinachofanywa na vyuo vikuu vya Marekani, Urusi, China na India, wanakutengenezea tailor made courses mpaka unakidhi vigezo!.

Sasa muombe radhi Nape Nnauye kwa kumchafua!
P
 
Rafiki yangu ana BA(Economics Option) na MBA (Finance) zote za UDSM. Ana Div I Form Four na Div II Form Six PGM (Principal Passes D-E-D) lakini walimkatalia admission Faculty of Law Undergraduate ila Faustine Ndungulile na Nape Nnauye wakapewa admission.

OUT wajirekebishe.
Duu
 
Kwanini? Matokeo yake ya kidato cha nne (form four) hayajabeba credits (c) hata moja. Alipata division 4 ya alama 29. Hapo katikati amepambana kurejea mitihani yake lakini amegonga mwamba.

Nape Nnauye, alijiunga na Butimba Teacher Training College (BUTIMBA TTC) na kufanya mitihani yake ya kidato cha sita (form six), huko pia alikosa principal pass (D) katika matokeo yake.
Alianzaje kujisajili kufanya mtihani wa kidato Cha SITA wakati Hana credits za kidato Cha nne!?na akapokelewa na kufanya Kisha akapata D'z za form six!?kwamba kote amekuwa tapeli ! Navojua ili ufanye exam kidato Cha SITA lazima uwe na C tatu, simchukii nape Wala simpendi ila mleta Uzi hapa napata ukakasi,hasa hapo nilipokoti,,,, I suggest uka-edit tena
 
Sasa nape anasoma Sheria kwaajil ya nn?si ana mastaz ya India?na uzee ule anasoma Sheria ili iweje?si ana madaraka makubwa tayari?au anaongea aibu div 4 yake maskin[emoji23][emoji23][emoji1787]huwezi nunua elimu,waweza kuwa chawa na ukapata vyeo Ila sio elimu Wala matokeo mazuri[emoji120]
mkuu napingana nawewe.kwa elimu zetu za vyeti hizi hapa nchini,nape na wenzake wako sahihi kabisa,mchongo ni gamba sio matokeo ya ulicho na elimu nacho.

leo kapata ya sheria,mwaka 2027 utashangaa anavaa joho la uchumi,2030 joho la sayansi ya jamii nk.ilimradi wanapitajwa ma DR nayeye awepo.

kwa nchi zinazojitambua,huwezi kujiona dhaifu kwa kukosa elimu,lakini pia huwezi kujiona imara kwa kuwa na cheti ambacho hustahili.
 
Mambo ya Ben Sananene na kiongozi wa kitaifa...
 
Rafiki yangu ana BA(Economics Option) na MBA (Finance) zote za UDSM. Ana Div I Form Four na Div II Form Six PGM (Principal Passes D-E-D) lakini walimkatalia admission Faculty of Law Undergraduate ila Faustine Ndungulile na Nape Nnauye wakapewa admission.

OUT wajirekebishe.
bonge moja la uongo yaan D,E,D iwe division II ya 13 umesoma nchi gani weye adi uyo rafiki yako awe na two ya PGM ya D E D
 
Back
Top Bottom