malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,319
- 520
Kimsingi hicho chuo aki exist,kipo midomoni mwa wanasiasa,eneo la kujenga hicho chuo iliishakuwa identified,kama kilometer 8 toka Mpanda mjini,njia ya kwenda Mwese,lakini nadhani hata beacons hazijawekwa.Ni muda sasa nimesikia kuhusu hiki chuo kipya cha kilimo cha katavi. Naomba kujua mambo yafuatayo:
- udahili wa wanafunzi ulishaanza?
- vipi kuhusu ajira za wahadhiri?
- naomba waliopo karibu wanipe picha za majengo
- je ni shahada zipi zinazotolewa?
- etc
Tupeni details za kueleweka.Tunakitaka hiko chuo.
hili naona ni changa la macho ndugu yangu!