Chuo kikuu kipya cha katavi cha kilimo

Chuo kikuu kipya cha katavi cha kilimo

malema 1989

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
1,319
Reaction score
520
Ni muda sasa nimesikia kuhusu hiki chuo kipya cha kilimo cha katavi. Naomba kujua mambo yafuatayo:
  • udahili wa wanafunzi ulishaanza?
  • vipi kuhusu ajira za wahadhiri?
  • naomba waliopo karibu wanipe picha za majengo
  • je ni shahada zipi zinazotolewa?
  • etc
 
Ni muda sasa nimesikia kuhusu hiki chuo kipya cha kilimo cha katavi. Naomba kujua mambo yafuatayo:
  • udahili wa wanafunzi ulishaanza?
  • vipi kuhusu ajira za wahadhiri?
  • naomba waliopo karibu wanipe picha za majengo
  • je ni shahada zipi zinazotolewa?
  • etc
Kimsingi hicho chuo aki exist,kipo midomoni mwa wanasiasa,eneo la kujenga hicho chuo iliishakuwa identified,kama kilometer 8 toka Mpanda mjini,njia ya kwenda Mwese,lakini nadhani hata beacons hazijawekwa.
 
kweli hii ndio Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona hii Katavi university of Agriculture (KUA) inaonyesha inatambuliwa na tume ya vyuo vikuu Tanzania kwa usajili wa muda kama chuo kikuu cha kilimo? inakuwaje TCU kukitambua chuo cha kufikirika? haingii akilini!!!!
 
Tupeni details za kueleweka.Tunakitaka hiko chuo.
 
Back
Top Bottom