Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Zoom polytechnic ni balaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toa fact ngosha, ungesema MUHAS ni miongoni mwa vyuo vizuri tungekuelewa, huwezi fananisha A na B kama kimojawapo hukijui otherwise utakuwa unaongelea ushabikiardhi univasiti?...kipo nchi gani? Chuo pekee nachojua mimi ni muhas!!..huko kuna wanaume wa maana wamepita hata mimi dr.holygrail nimepitamo pale!!!..vyoo vingine vilivyobaki ni vya ki 'mbebez' na kama we unasoma tofauti na muhas basi na wewe ni 'mbebez'
Muhas Kwa Wale Wa Afya, Ila C Kwamb Wote Tuende Hapo La Hasha! Bali Fursa Yako Ipo Pale Ulipo,,jambo la msingi ni kuwa na kile ambacho kinahitajika huko ajirani.
dah, siku hizi vijana wanasoma course zenye ajira. na kuacha kusoma mambo waliyokuwa wanayatamani kipindi wapo sekondari. ufinyu wa ajira jamani ndo unatupeleka hapa jamani.
Chuo bora ni kile ulichonacho kichwani kwako only