Chuo kipi chenye course zinazotoa ajira kwa urahisi

Chuo kipi chenye course zinazotoa ajira kwa urahisi

ardhi univasiti?...kipo nchi gani? Chuo pekee nachojua mimi ni muhas!!..huko kuna wanaume wa maana wamepita hata mimi dr.holygrail nimepitamo pale!!!..vyoo vingine vilivyobaki ni vya ki 'mbebez' na kama we unasoma tofauti na muhas basi na wewe ni 'mbebez'
toa fact ngosha, ungesema MUHAS ni miongoni mwa vyuo vizuri tungekuelewa, huwezi fananisha A na B kama kimojawapo hukijui otherwise utakuwa unaongelea ushabiki
 
Pasiansi Wildlife Training Institute(PWTI)
....Ajira moja kwa Moja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Muhas Kwa Wale Wa Afya, Ila C Kwamb Wote Tuende Hapo La Hasha! Bali Fursa Yako Ipo Pale Ulipo,,jambo la msingi ni kuwa na kile ambacho kinahitajika huko ajirani.
 
Muhas Kwa Wale Wa Afya, Ila C Kwamb Wote Tuende Hapo La Hasha! Bali Fursa Yako Ipo Pale Ulipo,,jambo la msingi ni kuwa na kile ambacho kinahitajika huko ajirani.

Mtoto wa mama Mwasi !
Karibu JF bwana !

Karibu sana !

:sorry:
:closed_2:
 
dah, siku hizi vijana wanasoma course zenye ajira. na kuacha kusoma mambo waliyokuwa wanayatamani kipindi wapo sekondari. ufinyu wa ajira jamani ndo unatupeleka hapa jamani.
 
dah, siku hizi vijana wanasoma course zenye ajira. na kuacha kusoma mambo waliyokuwa wanayatamani kipindi wapo sekondari. ufinyu wa ajira jamani ndo unatupeleka hapa jamani.

kweli mkuu huwa nawatamani wanaosomea course za sayanci
 
....Actually ukizaliwa bhukobha only unaelimu kuwa emplyed popote.....
 
Back
Top Bottom