Chuo kipi chenye course zinazotoa ajira kwa urahisi

toa fact ngosha, ungesema MUHAS ni miongoni mwa vyuo vizuri tungekuelewa, huwezi fananisha A na B kama kimojawapo hukijui otherwise utakuwa unaongelea ushabiki
 
Pasiansi Wildlife Training Institute(PWTI)
....Ajira moja kwa Moja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Muhas Kwa Wale Wa Afya, Ila C Kwamb Wote Tuende Hapo La Hasha! Bali Fursa Yako Ipo Pale Ulipo,,jambo la msingi ni kuwa na kile ambacho kinahitajika huko ajirani.
 
Muhas Kwa Wale Wa Afya, Ila C Kwamb Wote Tuende Hapo La Hasha! Bali Fursa Yako Ipo Pale Ulipo,,jambo la msingi ni kuwa na kile ambacho kinahitajika huko ajirani.

Mtoto wa mama Mwasi !
Karibu JF bwana !

Karibu sana !

:sorry:
:closed_2:
 
dah, siku hizi vijana wanasoma course zenye ajira. na kuacha kusoma mambo waliyokuwa wanayatamani kipindi wapo sekondari. ufinyu wa ajira jamani ndo unatupeleka hapa jamani.
 
Ndo hivyo mkuu ufinyu wa ajira na teknolojia umeharibu sana mambo
 
dah, siku hizi vijana wanasoma course zenye ajira. na kuacha kusoma mambo waliyokuwa wanayatamani kipindi wapo sekondari. ufinyu wa ajira jamani ndo unatupeleka hapa jamani.

kweli mkuu huwa nawatamani wanaosomea course za sayanci
 
....Actually ukizaliwa bhukobha only unaelimu kuwa emplyed popote.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…