Chuo kipi chenye course zinazotoa ajira kwa urahisi

Joined
Jan 11, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Kwangu mimi naona Ardhi university ni chuo chenye course ambazo ni more marketable japo wengi hawazijui kama Land management,buildingbecinics,geomatics na archetecture
 
Dit,must,atc,st.Joseph,muhas,veta, na vyuo ambavyo vina course za engineering,water,health,agriculture na education
 
Kwangu mimi naona Ardhi university ni chuo chenye course ambazo ni more marketable japo wengi hawazijui kama Land management,buildingbecinics,geomatics na archetecture

ardhi univasiti?...kipo nchi gani? Chuo pekee nachojua mimi ni muhas!!..huko kuna wanaume wa maana wamepita hata mimi dr.holygrail nimepitamo pale!!!..vyoo vingine vilivyobaki ni vya ki 'mbebez' na kama we unasoma tofauti na muhas basi na wewe ni 'mbebez'
 
Mkuu usiseme chuo pekee ni MUHAS, Kama mtu anataka engineering hawezi kuja muhas
 
Unauliza swali afu unatoa jibu mwenyewe...kalale bado unakichwa dafu kikikomaa kuwa nazi utaamka!
 
Back
Top Bottom