Chuo kipi kati ya hivi unakikubali zaidi na kipi kati yao kinabolonga..!!

Chuo kipi kati ya hivi unakikubali zaidi na kipi kati yao kinabolonga..!!

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
 
eti KiNABOLONGA????ndo nini hiyo rara badala ya lala
wewe ndo unataka kujua chuo kizuri wewe???
 
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!

Rudi kwanza darasa la tano kajifunze kiswahili fasaha halafu uje tena kuuliza swali na swali lenyewe Liwe na mantiki sio hili ulilouliza
 
we boya huna lolote ni bora usome Uzi za watu upate maarifa na ckutuletea upuuzi wako huu vyuo vyote ni bora ila vinatofautiana umri
Kama una hoja kaa pembeni kama vyuo vyote vipo sawa kwanini mnachagua vyuo vya kwenda watoto wenu huku vingine mkivikataa..!
 
watoto wa first year utawajua tu.
Soma dogo, kisha uje mtaani Ndio utajua kipi ni bora.

hahaahah mkuuu umenikumbusha mbalii

zamani hizo ukiingia chuo UKIWA NA MASWALI MENGI UNAAULIZWA NA WEWE
first year:hivi kuna assemble
contininous student:are you 1st year???
 
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!

Wewe unasoma chuo kipi hapo?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!

bila shaka ww ni first year, ngoja
nikwambie mdogo wng, hautakiw
kuwaza chuo kip ni bora, waza jinsi ya kuepukana na
umaskini na kuepuka utegemez wa
kuajiriwa, mm nko thrd year udsm ila
nakwambia kusoma udsm sio lolote
sio chochote, ni kchwa cha mtu
kufanya kaz vzur na kuw na fikra
chanya ndo ktu cha muhimu, hat mtu
aliesoma teku anawez akawa na
mafanikio kuliko aliesoma Udsm au
Sua au vyuo mnavovpenda
 
Naanza kuwa na wacwac na wasomi wetu yani ninauliza swali mtu anatoa ushauri mkuu jipange soma post elewa ukiona inaboa pita mbali....!
 
Wewe unasoma chuo kipi hapo?

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mkuu Jephta2003 hii ingekuwa ni interview unge score 0 next tyme angalia vizuri swali afu jibu inavyopaswa km unaona ni ngumu kumeza pita kimyakimya...!!
 
Back
Top Bottom