Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
Naanza kuwa na wacwac na wasomi wetu yani ninauliza swali mtu anatoa ushauri mkuu jipange soma post elewa ukiona inaboa pita mbali....!
ukikua utaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza kuwa na wacwac na wasomi wetu yani ninauliza swali mtu anatoa ushauri mkuu jipange soma post elewa ukiona inaboa pita mbali....!
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
Mkuu mm na ww nani ajitambui xx coz nimeweka uzi hapo umechangia it means that umeuelewwa uzi kwa hiyo unaposema sijitambui pengine ungejichunguza kwanza km unajitambua usingejibu...!!

Wewe uliyekuwa ndo ukiulizwa swali na wewe unauliza swali ndo kukuwa huko jipange mwenyewe..!
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
Mkuu Jephta2003 hii ingekuwa ni interview unge score 0 next tyme angalia vizuri swali afu jibu inavyopaswa km unaona ni ngumu kumeza pita kimyakimya...!!