Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Naanza kuwa na wacwac na wasomi wetu yani ninauliza swali mtu anatoa ushauri mkuu jipange soma post elewa ukiona inaboa pita mbali....!
Kila chuo kina ubora wake na weakness zake hauwezi kulinganisha vyuo viko tofauti, course tofauti.. na mwisho hauwez kusema chuo hiki bora kuliko hiki.