Ili iweje sasa..
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!

watoto wa first year utawajua tu.
Soma dogo, kisha uje mtaani Ndio utajua kipi ni bora.
Kama una hoja kaa pembeni kama vyuo vyote vipo sawa kwanini mnachagua vyuo vya kwenda watoto wenu huku vingine mkivikataa..!we boya huna lolote ni bora usome Uzi za watu upate maarifa na ckutuletea upuuzi wako huu vyuo vyote ni bora ila vinatofautiana umri
watoto wa first year utawajua tu.
Soma dogo, kisha uje mtaani Ndio utajua kipi ni bora.
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
bila shaka ww ni first year, ngoja
nikwambie mdogo wng, hautakiw
kuwaza chuo kip ni bora, waza jinsi ya kuepukana na
umaskini na kuepuka utegemez wa
kuajiriwa, mm nko thrd year udsm ila
nakwambia kusoma udsm sio lolote
sio chochote, ni kchwa cha mtu
kufanya kaz vzur na kuw na fikra
chanya ndo ktu cha muhimu, hat mtu
aliesoma teku anawez akawa na
mafanikio kuliko aliesoma Udsm au
Sua au vyuo mnavovpenda