Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Naanza kuwa na wacwac na wasomi wetu yani ninauliza swali mtu anatoa ushauri mkuu jipange soma post elewa ukiona inaboa pita mbali....!
Jitambue mkuu. Hapa nimekujibu vizuri sana wewe unazungumzia ubora upi
Mkuu namaanisha ubora in academic coz mi nadhni tukubaliane hivi vyuo havipo sawa ndo maana baadh ya NGOs wanapendelea kuajir zaidi wanafunzi kutoka vyuo fulani fulani wakiamini vyuo hivyo vipo safi zaidi kiacademic sijui umenipata mkuu....???
Mkuu nimekuelewa vizuri tu. Ni hivi kila chuo kina specilization mfano udsm wana engineering mzumbe hakuna, Sua wana agriculture, range mgt, rural dvt,agribusiness, lakn udsm, mzumbe na teku hamna, mzumbe wana record mgt, procurement, health mgt, production operational mgt, wakati udsm, sua na teku hamna. Turudi kwenye ajira waajiri wanaangalia
competence ya mtu na kuna sababu nyingi na vigezo vingi vya kupata ajira kutokana na mahitaji ya mwajiri. Kwa hiyi basi kusoma sua, udsm, mu, teku sio kigezo tosha cha kupata ajira.
Mkuu kama vyuo vyote ni sawa je kwa nini kunakuwepo na best university mfano top 100 university in africa au top 10 university in tz na n.k....??
Udsm ni chuo kinachoongoza kuwa na maprofesa wengi na weledi tanzania hivyo hata elimu inayopatikana hapo ni bora ukilinganisha na vyuo vingine. Tatizo la udsm ni miundo mbinu tu lakini kwa elimu bora hapana chezea tanzania hata afrika
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
Udsm ni chuo kinachoongoza kuwa na maprofesa wengi na weledi tanzania hivyo hata elimu inayopatikana hapo ni bora ukilinganisha na vyuo vingine. Tatizo la udsm ni miundo mbinu tu lakini kwa elimu bora hapana chezea tanzania hata afrika
Mkuu kama vyuo vyote ni sawa je kwa nini kunakuwepo na best university mfano top 100 university in africa au top 10 university in tz na n.k....??
Udsm ni chuo kinachoongoza kuwa na maprofesa wengi na weledi tanzania hivyo hata elimu inayopatikana hapo ni bora ukilinganisha na vyuo vingine. Tatizo la udsm ni miundo mbinu tu lakini kwa elimu bora hapana chezea tanzania hata afrika
Udsm ni chuo kinachoongoza kuwa na maprofesa wengi na weledi tanzania hivyo hata elimu inayopatikana hapo ni bora ukilinganisha na vyuo vingine. Tatizo la udsm ni miundo mbinu tu lakini kwa elimu bora hapana chezea tanzania hata afrika
Mkuu axante wewe ndo umejibu km swali lilivyouliza wengine wanaweweseka tu...!!