Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urembo si kigezo cha kuingia chuo.
Ifm....
Mwajuma ushawahi kuwa wa kwanza darasani?
sitaki ugomvi. Utajuaje chuo chenye warembo wakati vyuo havitumii kigezo cha urembo kusajiliwa wanafunzi?
Urembo si kigezo cha kuingia chuo.
Kwani macho huna?
wasomi wengi ni wabaya yaani wanasura ya viatu siyo wote lakini..
ni warembo wangapi ushawaona ifm?
Kibwena
Ustawi wa jamii, kuna wanawake wakubwa sijui kwa nini
kibwena ndio nin?
ndio nini? au nacho chuo...jamani kuna chuo kinaitwa udom hapo ni kisima cha warembo,afu cbe imesahaulika..Teofilo kisanji