Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hahahawakuu kuna chuo kinaitwa makumira yani chuo kizima demu mzuri ni mmoja tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahawakuu kuna chuo kinaitwa makumira yani chuo kizima demu mzuri ni mmoja tu!
Saivi kuna visu hatariNiliwahi kutembelea chuo flani kinaitwa muccobs kule moshi,mademu wote wamekomaa sura ka njemba zinazochimba mitaro..
HahahhahaaHahaha
MkuuHahahhahaa
Nipo serious mkuu hela kwetu ni ngumu na mwaka huu nimeshindwa kujiungaMkuu
Kuna watu wana dharau[emoji23]
Sua itoe mkuu1. Ifm
2. Udom
3. Dit
4. Mzumbe
5.sua
vingine mtaniwia radhi, subirini 2015.
hahaaha alafu washambaaaaaUstawi wa jamii, kuna wanawake wakubwa sijui kwa nini
Sua itoe mkuu
Pale lila anayekatiza screen saver au mti wa Sapu ni mkali.ni warembo wangapi ushawaona ifm?