mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
"no research no right to speak", je umetembelea vyuo vyote hadi kufikia hiyo conclusion?
ni hayo tu
ni hayo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kutembelea chuo flani kinaitwa muccobs kule moshi,mademu wote wamekomaa sura ka njemba zinazochimba mitaro..
1. Ifm
2. Udom
3. Dit
4. Mzumbe
5.sua
vingine mtaniwia radhi, subirini 2015.
Wakuu chuo cha UTUMISHI WA UMMA kule kwao Ben Mkapa kina watoto wazuri balaa. Yaani utadhani walidondoshwa kutoka mbinguni. Watoto mguu mguu, kifua kifua yaani ka kwenye shindano la miss world lo!!!
Watoto mnato kwenda mbele kama wa geti kali lo!! Nakwambia familia zinazidi kusambaratika kwa wanawake kudai talaka.mbona hukuchukua hata mmoja aisee? ila nasikia wanapenda ofa za bia na kwenda club
IFM pale pamechafuka sana kwa HIV
Wananjaa sana pale, UDSM pale napo wale wale,
SAUT, ndio usiseme ngoma za kufikia
hiyo HIV uliipeleka wewe????na utakichukua sana mwaka na bado
'no resesh mo rait ti spiki' jf source muhimu,source:'mao ze dong',"no research no right to speak", je umetembelea vyuo vyote hadi kufikia hiyo conclusion?
ni hayo tu
muhimbili wanaume wanakuwaga na sura nzuri kuliko wanawake.