Chuo kipi kizuri kwa kufundisha usimamizi wa fedha(banking and finance)?

Chuo kipi kizuri kwa kufundisha usimamizi wa fedha(banking and finance)?

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
91
Reaction score
22
Habari.
Naombe ushauri , ni chuo gani hapa D'salaam kinafundisha usimamizi wa fedha.
Mfano banking,accountant,nk.Vyuo vimekuwa vingi sana na ni vichache tu
ndio zinafanya vizuri katika ufundishaji vingine ni biashara tu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa ananishauri TIU(Tanzania International Uniersity)
, IFM(Institute of Finance Management) na CBE(College of Business Education)
Please ushauri wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom