Bro tofauti ipo Kati ya must na hivo vingine yaan( ATC na DIT) huku sisi ukifeli kuchomoa supp una retake yaan unarudia mwaka wenzako wanaendelea mwka mwingine wew unarudia Somo ulilofeli Ila MUST wana carry wenyew hamna Cha kurudia mwaka utalisoma Hilo somo ukiwa mwaka mwingine
Ko DIT utakuta mtu anasoma diploma miaka Mitano ni Kawaida Sana sio Kama wenzetu wa MUST wenyew mteremko tu yaan kiufupu MUST wako tofauti Sana na ATC na DIT hata kwenye CA hapa DIT usipofika 20 marks kwa CA hufanyi mtihani wa mwisho wa semister Ila MUST unaingia unafanya Kama Kawaida na ukifaulu unaendelea mwaka mwingine Ila sisi CA ukizingua unasubri mwaka unaofuata wenzako wanaendelea wew unarudia na wadogo zako kusoma Hilo somo
NOTE: DIT na ATC wako sawa kitaaluma tofauti ni mazingira tu Ila MUST wako tofauti kimazingira na system za elimu yao