Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2021
Posts
667
Reaction score
917
Habari zenu wana JF.

Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie kunijuza wapi niende referring the title).

Kila utakayechangia Mwenyezi Mungu akubariki
 
Najua humu kuna waliosoma dit,must n.k engineers,walimu na wahadhiri.Naombeni mchango wenu
 
Acha wenge mkuu chuo ni chuo tu.
Hpn.Kwahiyo Mit=udsm?,dit/must=veta?
Hata dent awe bora kiasi gan chuo lazima kichangie kwa namna yoyote ile.
Vilevile CV haziwezi fanana unapokwenda kuomba kazi kwa sababu kuna vyuo vinaaminika
 
Kama unabishana na mimi sawa endelea na akili zako zaki uwanafunzi ukija mtaani utanyooshwa utakapo gundua sio tu chuo ulichosoma hata cheti chako ni upuuzi.
 
Naona unaongea kama unajua background yangu.Usikariri kwamba kila mwanafunzi ana akiri finyu ndo maana kuna watu wazima wajinga.Mm mwenyewe ni mtu wa uswazi na hizo stori za ugumu wa maisha ninazo.Unataka niache elimu haah kisa kuna wenye masters na hawana kazi.Mm elimu ya darasani siwez kuacha tena elimu ya mtaani ndo ndugu yangu wa damu.Alf kaka usijione unajua kila kitu katika hii dunia eti unasema "kama unabishana na mm....".
 
Hiyo elimu unayosema wewe ni ndugu yako wa damu mimi elimu ni baba yangu mzazi na hakuna sehemu nimekwambia uikache elimu bali ninekwambia kitu ambacho ukichelewa kukifahamu mtaani utapata tabu sana kama unanibishia subiri umalize hiko chuo unachoamini ni kikali kitakuza CV yako uje mtaani tutaongea lugha moja.

Na kwa hizi stori zako tu za sijui DIT inashuka chuo hiki kinapanda nina uhakika hakuna unalojua juu ya elimu ya Tanzania na maisha halisi mtaani.
 
Hiyo elimu unayosema wewe ni ndugu yako wa damu mimi elimu ni baba yangu mzazi na hakuna sehemu nimekwambia uikache elimu bali ninekwambia kitu ambacho ukichelewa kukifahamu mtaani utapata tabu sana kama unanibishia subiri umalize hiko chuo unachoamini ni kikali kitakuza CV yako uje mtaani tutaongea lugha moja.
Pitia vzuri mkuu nimesema elimu ya mtaani na sio darasani.Nakila kitu nakifahamu kinachoendelea mtaani kwamba ajira hamna hivyo mtu anabidi kujiongeza.Ulikua unadhani sijui.
 
Ajira serikalini zipo ila viongoz wanakumbatia watu wanaowafahamu the same kwa kampuni binafsi.Ila kuna kitu nakijua mwenyewe ndo maana nikasema unaongea kama unajua background yangu ilhali hujui.
 
Habari zenu wana JF.

Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie kunijuza wapi niende referring the title).

Kila utakayechangia Mwenyezi Mungu akubariki
Ukikaa sikiliza maneno hutokaa usome chuo Tz. Utasema UDSM bora lakini mwingine atakwambia udsm wanafunzi wake ni wa huni (refer yule aliye tumia fanya nyeusi)!

Mimi kwa ushauri nenda kasome DIT tena ukimaliza unga hapo hapo degree!

NB: Hata ukisoma Oxford au harvard kama bichwa lako ligumu na hujitumia utakua empty set tu!
 
Pitia vzuri mkuu nimesema elimu ya mtaani na sio darasani.Nakila kitu nakifahamu kinachoendelea mtaani kwamba ajira hamna hivyo mtu anabidi kujiongeza.Ulikua unadhani sijui.
Hakuna chuo kitakacho kuza CV yako hapa Tanzania au Africa kiujumla, vyuo hivyo ni vichache sana kwanza hapa TZ hakuna mtu yuko busy hata kusoma hiyo CV yako. Ukitaka chuo kikubebe nenda Harvard, Oxford, MIT, Yale na Stanford huo ndio ukweli mchungu.

Hivyo vyuo nilivyokutajia ukisoma tu ni CV tosha lakini sio hivi unavyozungumzia wewe mkuu, vyuo vyetu vya TZ we ndenda kasome umalize ndio cha msingi.
 
Ukikaa sikiliza maneno hutokaa usome chuo Tz. Utasema UDSM bora lakini mwingine atakwambia udsm wanafunzi wake ni wa huni (refer yule aliye tumia fanya nyeusi)!

Mimi kwa ushauri nenda kasome DIT tena ukimaliza unga hapo hapo degree!

NB: Hata ukisoma Oxford au harvard kama bichwa lako ligumu na hujitumia utakua empty set tu!
Asante sana mkuu kwa ushauri maana haka katabia cha wabongo nilikihisi ila sikutilia maanani.
😎Kumbe fanta nyeusi imetrendi kinomaa duhhh.
 
Hakuna chuo kitakacho kuza CV yako hapa Tanzania au Africa kiujumla, vyuo hivyo ni vichache sana kwanza hapa TZ hakuna mtu yuko busy hata kusoma hiyo CV yako. Ukitaka chuo kikubebe nenda Harvard, Oxford, MIT, Yale na Stanford huo ndio ukweli mchungu.

Hivyo vyuo nilivyokutajia ukisoma tu ni CV tosha lakini sio hivi unavyozungumzia wewe mkuu, vyuo vyetu vya TZ we ndenda kasome umalize ndio cha msingi.
Nakuelewa mkuu na chakusema ni kwamba uwezo wa kwenda mit au Harvard ninao ila mm sio muhumini wa advance eti nipoteze muda alf niende kusoma huko niishie kuajiriwa.Asilimia kubwa ya TO's na waliokwenda huko wameishia kuwa walowez wakiwatumikia wazungu.Mm ninachohitaji ni chuo kitakachonishape kibongobongo ili nijue natokaje.Hustling is everything na kufanikiwa ni popote pale ila vitu vingine maamuz
 
Mtoa mada wewe ni kati ya form four leavers wachache wenye akili kuwahi kutokea JF. Nakupongeza sana kwa hoja zilizonyooka.
 
Back
Top Bottom