Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

Lkn friend, kwenye job qualification hua n chuo chochote kinachotambulika na serekali, tittle za vyuo tunataka wenyewe,
Ila nafikiri skills haziwezi kufanana kutokana na mazingira, nature ya wahadhiri,vitendea kazi n.k
 
DIT ni pazuri sana kwa elimu ila mfumo wake kufaulu ni ngumu kidogo inataka uwe very serious… Must ni bola kielimu kipo vzur ata maisha ya huko ni cheap sio kama dar nakushauli nenda must
 
By the way must ina cv kubwa kuliko dit ni chuo kikubwa dit ni institute tu ….
 
Back
Top Bottom