VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Hpn.Kwahiyo Mit=udsm?,dit/must=veta?Acha wenge mkuu chuo ni chuo tu.
Kama unabishana na mimi sawa endelea na akili zako zaki uwanafunzi ukija mtaani utanyooshwa utakapo gundua sio tu chuo ulichosoma hata cheti chako ni upuuzi.Hpn.Kwahiyo Mit=udsm?,dit/must=veta?
Hata dent awe bora kiasi gan chuo lazima kichangie kwa namna yoyote ile.
Vilevile CV haziwezi fanana unapokwenda kuomba kazi kwa sababu kuna vyuo vinaaminika
Naona unaongea kama unajua background yangu.Usikariri kwamba kila mwanafunzi ana akiri finyu ndo maana kuna watu wazima wajinga.Mm mwenyewe ni mtu wa uswazi na hizo stori za ugumu wa maisha ninazo.Unataka niache elimu haah kisa kuna wenye masters na hawana kazi.Mm elimu ya darasani siwez kuacha tena elimu ya mtaani ndo ndugu yangu wa damu.Alf kaka usijione unajua kila kitu katika hii dunia eti unasema "kama unabishana na mm....".Kama unabishana na mimi sawa endelea na akili zako zaki uwanafunzi ukija mtaani utanyooshwa utakapo gundua sio tu chuo ulichosoma hata cheti chako ni upuuzi.
Hiyo elimu unayosema wewe ni ndugu yako wa damu mimi elimu ni baba yangu mzazi na hakuna sehemu nimekwambia uikache elimu bali ninekwambia kitu ambacho ukichelewa kukifahamu mtaani utapata tabu sana kama unanibishia subiri umalize hiko chuo unachoamini ni kikali kitakuza CV yako uje mtaani tutaongea lugha moja.Naona unaongea kama unajua background yangu.Usikariri kwamba kila mwanafunzi ana akiri finyu ndo maana kuna watu wazima wajinga.Mm mwenyewe ni mtu wa uswazi na hizo stori za ugumu wa maisha ninazo.Unataka niache elimu haah kisa kuna wenye masters na hawana kazi.Mm elimu ya darasani siwez kuacha tena elimu ya mtaani ndo ndugu yangu wa damu.Alf kaka usijione unajua kila kitu katika hii dunia eti unasema "kama unabishana na mm....".
Pitia vzuri mkuu nimesema elimu ya mtaani na sio darasani.Nakila kitu nakifahamu kinachoendelea mtaani kwamba ajira hamna hivyo mtu anabidi kujiongeza.Ulikua unadhani sijui.Hiyo elimu unayosema wewe ni ndugu yako wa damu mimi elimu ni baba yangu mzazi na hakuna sehemu nimekwambia uikache elimu bali ninekwambia kitu ambacho ukichelewa kukifahamu mtaani utapata tabu sana kama unanibishia subiri umalize hiko chuo unachoamini ni kikali kitakuza CV yako uje mtaani tutaongea lugha moja.
Ajira serikalini zipo ila viongoz wanakumbatia watu wanaowafahamu the same kwa kampuni binafsi.Ila kuna kitu nakijua mwenyewe ndo maana nikasema unaongea kama unajua background yangu ilhali hujui.Pitia vzuri mkuu nimesema elimu ya mtaani na sio darasani.Nakila kitu nakifahamu kinachoendelea mtaani kwamba ajira hamna hivyo mtu anabidi kujiongeza.Ulikua unadhani sijui.
Ukikaa sikiliza maneno hutokaa usome chuo Tz. Utasema UDSM bora lakini mwingine atakwambia udsm wanafunzi wake ni wa huni (refer yule aliye tumia fanya nyeusi)!Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie kunijuza wapi niende referring the title).
Kila utakayechangia Mwenyezi Mungu akubariki
Hakuna chuo kitakacho kuza CV yako hapa Tanzania au Africa kiujumla, vyuo hivyo ni vichache sana kwanza hapa TZ hakuna mtu yuko busy hata kusoma hiyo CV yako. Ukitaka chuo kikubebe nenda Harvard, Oxford, MIT, Yale na Stanford huo ndio ukweli mchungu.Pitia vzuri mkuu nimesema elimu ya mtaani na sio darasani.Nakila kitu nakifahamu kinachoendelea mtaani kwamba ajira hamna hivyo mtu anabidi kujiongeza.Ulikua unadhani sijui.
Asante sana mkuu kwa ushauri maana haka katabia cha wabongo nilikihisi ila sikutilia maanani.Ukikaa sikiliza maneno hutokaa usome chuo Tz. Utasema UDSM bora lakini mwingine atakwambia udsm wanafunzi wake ni wa huni (refer yule aliye tumia fanya nyeusi)!
Mimi kwa ushauri nenda kasome DIT tena ukimaliza unga hapo hapo degree!
NB: Hata ukisoma Oxford au harvard kama bichwa lako ligumu na hujitumia utakua empty set tu!
Unazingua Yumkini.Kama unabishana na mimi sawa endelea na akili zako zaki uwanafunzi ukija mtaani utanyooshwa utakapo gundua sio tu chuo ulichosoma hata cheti chako ni upuuzi.
Nakuelewa mkuu na chakusema ni kwamba uwezo wa kwenda mit au Harvard ninao ila mm sio muhumini wa advance eti nipoteze muda alf niende kusoma huko niishie kuajiriwa.Asilimia kubwa ya TO's na waliokwenda huko wameishia kuwa walowez wakiwatumikia wazungu.Mm ninachohitaji ni chuo kitakachonishape kibongobongo ili nijue natokaje.Hustling is everything na kufanikiwa ni popote pale ila vitu vingine maamuzHakuna chuo kitakacho kuza CV yako hapa Tanzania au Africa kiujumla, vyuo hivyo ni vichache sana kwanza hapa TZ hakuna mtu yuko busy hata kusoma hiyo CV yako. Ukitaka chuo kikubebe nenda Harvard, Oxford, MIT, Yale na Stanford huo ndio ukweli mchungu.
Hivyo vyuo nilivyokutajia ukisoma tu ni CV tosha lakini sio hivi unavyozungumzia wewe mkuu, vyuo vyetu vya TZ we ndenda kasome umalize ndio cha msingi.
Dogo nenda kasome, DIT kipo vizuri mbona hasa katika hiyo nyanja ya umeme.
Kwa heshima yako mkuu,ubarikiwe.Mtoa mada wewe ni kati ya form four leavers wachache wenye akili kuwahi kutokea JF. Nakupongeza sana kwa hoja zilizonyooka.
NimekupataVyuo vya serikali kapige mkuu vinaaminika kwa kiasi fulani, Dit Atc na must