Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

Wewe bhana! kweli wewe serotherapy, tumshauri aende MUHAS ni kari ila kama kweli ni BRN atapata tabu sana ingekua enzi zetu ingekua ni div1.9 na angepata MUHAS. Gvt tuna vyuo 3 tuu yaani MUHAS,UDOM & SUZA, vyote viko mbali akapige CO Tumbi.

Hahahahahahha kweli mimi......!! Hahahahah sanababaaa
 
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga

We jamaa ni boya Umekazania Vyuo vya Serikali wakati umefeli mi nakushauri Nenda KCMC Ni karibu na Tanga lakini kina mixed ownership siyo cha serikali moja kwa moja kwa matokeo hayo utasoma MD bila ushindani MUHAS na DCB???? Hutaweza mziki wake nenda nenda nenda nenda nenda nenda KCMC.
 
Kuwa wazi mzee...MD degree, diploma or cert.?

samahani mkuu kuna kitu kinaitwa md degree, diploma or cert? duuuh kweli dunia ina mambo, sijawahi sikia hao wanyama uliowataja.
 

Hivi jamaa angu mbna unakejeli sana? Sababu Majibu yako mengi ni ya kejeli na kukatisha tamaa.... Nahisi katika ukoo wenu wewe ndio mtu wa kwanza kusoma ndio maana unaulimbukeni. Comment zako nyingi ni za kejeli tupu, badilika dogo acha mambo ya form 4
 
samahani mkuu kuna kitu kinaitwa md degree, diploma or cert? duuuh kweli dunia ina mambo, sijawahi sikia hao wanyama uliowataja.

Hi Kweli mkuu inawezekana me nikawa nimeandika wanyama, md we umeilewaje kwani?
 

Huyu haelewi kitu mkuu ndio maana me nimeshampuuza sana, Inawezekana ni vile vitoto vya BRN na katakua first year na hata anatomy hakajaijua vizur, Mtu mzima tena MD huwezi kua mjinga mjinga kutoa kejeli kama hizi! Inanikumbusha kuna siku moja pale Muhimbili niliamwambia Intern moja amwekee mgonjwa NGT, Mama yangu tena kwa confidence ajakimbilia kuishindilia mdomoni!Nilishangaa sana kumwona MD mzima wa 5yrs tena wa Muhimbili anafanya mambo ajabu ajabu.Sasa huyu dogo ndio wale wale .
 
Guys, kwani muhas wanachukua pcb,
kwa ufaulu gani?

mkuu wastani mzuri wa kusoma MD ni cutting point ya 7 au zaid.
chini yapo pia unaweza kupata kwa baadhi ya vyuo. lakini pia sio ajabu akafaulu kiasi hicho na bado ukakosa chance Muhas na ukapata kwingine, kubali vyote ilimradi ukasome.
 
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga[/QUOTE wewe kweli form six,unanipa masmashakaaka hujhujajuawa vyuvyuoa Umma ni viwwili tu kwa MD,udom na MUHAS,
 
MD programme pia ipo KCMC, CUHAS, KAIRUKI, IMTU NA ST FRANCIS.kote huko utapata udhamini wa serikali, na ukimaliza degree ni hiyo hiyo.hakuna degree ya MUHAS wala UDOM peke yake.wote mnaingia kwenye soko moja la kutafuta ajira.sio lazima uajiriwe na kufanya kazi ya kutibu peke yake.kuna vyuo vya afya kibao vya diploma, vyote hivi vinatafuta MD wa kuwa tutors au clinical instructors.na mshahara wao ni mzuri kuliko yule anayetibu hospitali. Tuma maombi vyuo vyote hivi.naamini utapata.fungua websites zao utapata maelekezo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…