SEROTHERAPY
Senior Member
- Oct 24, 2014
- 199
- 26
Guys, kwani muhas wanachukua pcb,
kwa ufaulu gani?
Hahahahhaah mwananguu jinalakooo linanifuraisha sana nanga wa depoo uongooo hahahahhaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guys, kwani muhas wanachukua pcb,
kwa ufaulu gani?
Wewe bhana! kweli wewe serotherapy, tumshauri aende MUHAS ni kari ila kama kweli ni BRN atapata tabu sana ingekua enzi zetu ingekua ni div1.9 na angepata MUHAS. Gvt tuna vyuo 3 tuu yaani MUHAS,UDOM & SUZA, vyote viko mbali akapige CO Tumbi.
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga
Kuwa wazi mzee...MD degree, diploma or cert.?
samahani mkuu kuna kitu kinaitwa md degree, diploma or cert? duuuh kweli dunia ina mambo, sijawahi sikia hao wanyama uliowataja.
We jamaa ni boya Umekazania Vyuo vya Serikali wakati umefeli mi nakushauri Nenda KCMC Ni karibu na Tanga lakini kina mixed ownership siyo cha serikali moja kwa moja kwa matokeo hayo utasoma MD bila ushindani MUHAS na DCB???? Hutaweza mziki wake nenda nenda nenda nenda nenda nenda KCMC.
samahani mkuu kuna kitu kinaitwa md degree, diploma or cert? duuuh kweli dunia ina mambo, sijawahi sikia hao wanyama uliowataja.
Hi Kweli mkuu inawezekana me nikawa nimeandika wanyama, md we umeilewaje kwani?
Hivi jamaa angu mbna unakejeli sana? Sababu Majibu yako mengi ni ya kejeli na kukatisha tamaa.... Nahisi katika ukoo wenu wewe ndio mtu wa kwanza kusoma ndio maana unaulimbukeni. Comment zako nyingi ni za kejeli tupu, badilika dogo acha mambo ya form 4
Kwa hyo jamani kozi gain ya afya inaweza ika fit kwa matokeo hayo kwenye vyuo vya serikali ukiacha nersing
Hahahahhaah mwananguu jinalakooo linanifuraisha sana nanga wa depoo uongooo hahahahhaha
Guys, kwani muhas wanachukua pcb,
kwa ufaulu gani?
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga[/QUOTE wewe kweli form six,unanipa masmashakaaka hujhujajuawa vyuvyuoa Umma ni viwwili tu kwa MD,udom na MUHAS,

Kuna kingine cha SUZA Zanzibar mkuu nacho ni cha uma kama ulikua hujui.Wana MD, criteria ni zile zile.
EMBU KABLA HATUJAENDA MBALI,,
HIVI,
MD= MEDICAL DOCTOR au
MD=MEDICAL DEGREE??
ila usiombe K.I.U angalisho.
nimemaanisha medicine