Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

Javis Elias Balilemwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
489
Reaction score
67
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga
 
Hayo ni matokeo ya lini? Afu kibaya zaidi vyuo vyote vipo mbali na TA vya serikali ni viwili tuu! Muhimbili na UDOM vyote vipo mbali labda Muhimbili ndo kipo karibu kidogo na TA nauli elfu 15 lakini tatizo matokeo mkuu
 
Kwa hyo jamani kozi gain ya afya inaweza ika fit kwa matokeo hayo kwenye vyuo vya serikali ukiacha nersing
 
Ndugu wanna Jamvi nimepata Physics D chemistry c. Biology B nataka kuaply chuo kizuri katk kozi ya MD ambacho hakipo mbali sana na Tanga

Kuwa wazi mzee...MD degree, diploma or cert.?
 
Kwa hyo jamani kozi gain ya afya inaweza ika fit kwa matokeo hayo kwenye vyuo vya serikali ukiacha nersing

Daaaaa kakaaa ndioo bios B umeweka vizurii lakini kiukwelii kwa vyuo vya government hata udom itakupa shida sana mwananguu madogo wa BRN wanapigaa miB+ skuizii mbaka bhasii sema kamaa unamalengo na uchunguu weka clinical medicine utapiga degree baadaee kuliko kukosaa vyotee na kukaa kitaa na ndevuu kuotaa nyingii sana usonii
 
Afuuu pia kakaa nursing iyoo ambayoo unaikwepaa wenzakoo wanaikosaa wenye hataa div 1 zaoo usizarauu kozi yoyote ya afya kakaaa itafikaa mdaa utazitafutaa utazikosaa
 
Ni kwelii mkuu sema ile watu wana imani potofu kuwa nursing ni kozi ya kike lakini watu wana ililia sanaaaa kiushauri ukipata nursing dogo piga
 
Afuuu pia kakaa nursing iyoo ambayoo unaikwepaa wenzakoo wanaikosaa wenye hataa div 1 zaoo usizarauu kozi yoyote ya afya kakaaa itafikaa mdaa utazitafutaa utazikosaa
True kk so kwa clinical medicine naweza nikachaguliwa government nikiaply
 
Guys, kwani muhas wanachukua pcb,
kwa ufaulu gani?

MD huw wanasema point 6 lakini ki uharisia inategemea na idadi ya walio omba na wanao takiwa mfano wanatakiwa watu 100 wakaomba watu 200 kati ya hao 150 wana dvdn one na 50 wana dvsn two yenye vigezo hapo wataangalia walio faulu sana mfano.waliopo hapa kwa mwaka huu wengi wana one wenye two wengi wapo enviromental na nursing so ile guide book inakuongoza tu pa kuanzia
 
Math F Ila English B

Hapo kwenye Math sasa mm navyo jua huwa wana angalia masomo matano yaani physics,chemistry,biology,math,na kingereza ukizingatia ni vyuo vya serikali unavyo taka tusikukatishe tamaa hebu omba lakini usiombe kozi moja tuu jaribu na zingine ili ikibuma huku huku ikubali
 
Daaaaa kakaaa ndioo bios B umeweka vizurii lakini kiukwelii kwa vyuo vya government hata udom itakupa shida sana mwananguu madogo wa BRN wanapigaa miB+ skuizii mbaka bhasii sema kamaa unamalengo na uchunguu weka clinical medicine utapiga degree baadaee kuliko kukosaa vyotee na kukaa kitaa na ndevuu kuotaa nyingii sana usonii

Wewe bhana! kweli wewe serotherapy, tumshauri aende MUHAS ni kari ila kama kweli ni BRN atapata tabu sana ingekua enzi zetu ingekua ni div1.9 na angepata MUHAS. Gvt tuna vyuo 3 tuu yaani MUHAS,UDOM & SUZA, vyote viko mbali akapige CO Tumbi.
 
Back
Top Bottom