Chuoni ndipo mabinti wanapoharibikiwa

Nimekubali ushauri wako...
Naam.

Kuna mabilioni ya wanawake duniani, na yumkini wengi wao hatutakubaliana nao.

Sasa ya nini kujiumiza kichwa kuwafuatilia wakati hata hawatuhusu?

Unaweza kufikiri wanawake usiokubaliana nao hawajitambui, kumbe wewe kwa kufuatilia watu wasiokuhusu ndiye mtu usiyejitambua.
 
Ila wanawake mnatuonea sana sisi ndio jumba bovu basi kwani nani anaewatemgenezea so called bahari hapo wizara ya Kati kama sio nyinyi wanaume.
We truly deserve to have all declarations from Beijing Conference.
 
Ila wanawake mnatuonea sana sisi ndio jumba bovu basi kwani nani anaewatemgenezea so called bahari hapo wizara ya Kati kama sio nyinyi wanaume.
We truly deserve to have all declarations from Beijing Conference.
Nacho pendea jf bwana kuna vita ya wanawake na wanaume kuwa nani mbaya ila viumbe hao hao wanaishia kugegeduana. Basi full raha wakisimulia jinsi wanavyovuana chupi
 
Its okay…….
Wanaosababisha yote hayo ni mtu anaitwa MWANAUME na MWANAUME huyohuyo anatusi na kulalamika vitu alivyofanya mwanaume mwezie.

eniwei maisha ndo hayahaya tafta tundu linalofit hio nanii ujibambe, hizo barehole kuna mashine zinafit u wont believe, kuna wakaka wana cucumber sio nchi hii
 
Nacho pendea jf bwana kuna vita ya wanawake na wanaume kuwa nani mbaya ila viumbe hao hao wanaishia kugegeduana. Basi full raha wakisimulia jinsi wanavyovuana chupi
Hapa watu wanajishaua na kujimwambafy tu.

Utakuta wengine hawahawa wanaowasema wanawake huko majumbani na mitaani mwao hawafurukuti kwa hao hao wanawake wanaowasema hapa.

Wanakuwa pussy whipped huko, hasira zao wanamalizia JF.
 

Ila wewe sindio mtanuaji
 
Nadhani haupo sahihi. Mleta mada sidhani kama lengo lake ni kumcontrol mwanamke au mwanaume bali ni kukemea hali ya uharibifu inayotokea.

Kimsingi, kinachotokea ni matokeo ya matumizi mabaya ya uhuru. Shida moja usiyoijua kuhusu jamii ni kuwa mwanamke asipokuwa makini na maamuzi yake na matendo yake basi jamii nzima itabeba mzigo wa matendo yake.

Sehemu kubwa ya changamoto za kijamii kama uhalifu, kukosekana kwa maadili, lishe mbovu, umasikini, etc ni matokeo ya moja kwa moja yanayohusishwa na mwanamke kutosimamia majukumu yake rasmi.

Nikuulize wewe binafsi, uwe haujaoa je upo tayari kuoa binti ambaye ametoka chuoni akiwa na msururu wa wanaume aliofanya nao mahusiano yaani mfano wanaume 9?! Na amekuweka wazi?!

Au utaweza kuwa na mapenzi ya kujenga familia na mwanamke ambaye ameshatoa mimba zaidi ya 5 na amekujulisha?!

Kimsingi, mwanamke anatakiwa kutazama matendo yake na mwenendo maaan ndipo utu wake ulipojificha. Akilega huko basi anavua utu wake na kuidhoofu jamii yake.

Ukitazama mwenendo wa jamii ya sasa na miaka ya nyuma ni sawa?!

Sio kweli kuwa mwanamke ameanza kushirikishwa katika maswala ya kimaendeleo miaka hii. Bali mwanamke wa kisasa anachukia shughuli na majukumu ya kike anatamani ya kiume ili asifanye ya kike.

Miaka ya nyuma wanawake wakiwa busy na majukumu yao ndio Dunia ilikuwa ikipata maendeleo haya tuliyoyafikia. Ila sasa muingiliano huu umeanza kurudisha nyuma maendeleo sababu interest ya mwanamke katika shughuli za kiuchumi ni kutaka kuonekana sawa na mwanaume, kupata pesa kwajiri ya kuvimbiana na mwanaume na kuwa above wanawake wenzake, na muhimu zaidi kutokuwa mwanamke sababu wanaamini kuwa mwanamke ni udhaifu na kuwa mwanaume ni privilege.

Wazia Dunia ya leo wanaume tukae benchi , wanawake washike usukani shughuli zote, mwezi hawatamaliza watasema tunataka kurudi majumbani tukawe wake.
 
Suguliwa na mmoja Inatosha,ila ukiingiza nyingi kukimbiwa dakika sifuri.
Ila wanawake mnatuonea sana sisi ndio jumba bovu basi kwani nani anaewatemgenezea so called bahari hapo wizara ya Kati kama sio nyinyi wanaume.
We truly deserve to have all declarations from Beijing Conference
 
Mzee wa kuthibitisha na hili thibitisha
 
Huyo ni kilaza asiyetumbua achana naye atakuchosha
 
Kama hatukubaliani uharibifu ni nini, utasemaje mleta mada anakemea uharibifu?

Unaandika kama tunakubaliana uharibifu ni nini.

Hizi ideas za uharibifu nyingi zinatokana na dini na collective societal norms, ambazo sasa hivi zinakuwa challenged.

Watu wanataka kuishi kwa uhuru wao zaidi.

Wewe iunanitolea mfano kuhusu mwanamke ninayetaka kuoa, mpaka hapo usha assume kwamba kila mtu anataka kuoa au kuolewa, mpaka hapo tu ushafanya a lazy assumption.

Na habari nzima ya "majukumu ya wanawake" ni ujima na mfumodume tu. Wewe sasa hivi una rais mwanamke, hizi traditional roles zinakuwa challenged.You guys are living in the past.

Why does this have to be wanaume kukaa benchi na wanawake kushika usukani? Kwa nini isiwe watu wenye akili kushika usukani na wasio na akili kukaa benchi, bila kujali wanawake au wanaume?

Paragraph yako ya mwisho inaonesha umejaa woga wa wanawake kukutawala, na unajaribu kuwa control, kuwa gaslight, kuwasengenya, wajione hawafai. Unaogopa wanawake wanasoma zaidi, wanajiweza zaidi, unaogopa wewe utakuwa irrelevant katika dunia ambayo wanawake watakuwa na sauti zaidi.

Hii ni alama ya mwanamme asiyejiamini.

Mwanamme anayejiamini atapenda wanawake wafanikiwe, waelimike, wapige hatua, atataka hivyo kwa kuwa anaheshimu utu wao na anataka kuwa na wanawake wenye elimu na uwezo.

Sasa kama hata hatukubaliani uharibifu ni nini, mtu kajiamulia kujiishia anavyotaka, hakulazimishi kitu, hapo kuna uharibifu gani?

Wewe huoni kumuingilia mtu mzima wa chuo kwenye maisha yake ndiyo uharibifu wenyewe hapa?
 
...
Wakati tatizo halisi si wanawake, ni hao wanaume wenyewe wameshindwa kuweza kuwavutia wanawake wanaowataka.

Nikiona naletewa shobo na demu wa ajabu huwa naanza kujiuliza nakosea wapi...

ule msemo wa utapewa wa kufanana nae, ina maana ujue ukiwa unakutana na borehole ujue na wewe ni man whore
 
Nikiona naletewa shobo na demu wa ajabu huwa naanza kujiuliza nakosea wapi...

ule msemo wa utapewa wa kufanana nae, ina maana ujue ukiwa unakutana na borehole ujue na wewe ni man whore
Exactly.

Watu wanapenda kulaumu, hawajui kwamba "it takes two to tango" (tango the dance).

Na hata kama wanatumia "matango" 9tango the vegetable), ni haki yao ya kikatiba.

Watu wengi wako performative, wanapenda drama za kulalamikiana, lakini mwanamme anayejielewa anakuwa na wanawake wengi wa kuchagua wanamtaka, halafu anajua kuchagua anayemtaka yeye.

Hana sababu ya kulalamikia wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…