Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Maisha hayana fomulaHata sisi tulio mtaani tumefanikiwa kwa kiasi flani lakini ukiniuliza nimefanikiwaje sina jibu
Hapo ndipo unapoanza kujiuliza mambo ya kutafuta X, Pythagoras Theorem, Difference of two Squares, Logarithms, Archimedes Principle, etc ulijifunza ya gari ganiWakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Mkuu cheti cha kitaaa ni sawa na PHD holder NNE za chuo na bado hujaongeza vi degree kama sita ufikie elimu ya cheti cha kitaaa na usipokuwa makini utafeli na elimu zako zote karibu kitaaa karibu katika really life na mipractical kibaoWakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Huku mtaani ni akili kumu kichwa ukileta usomi wako huku utakufa masikiniNilifundishwa ili nije kupata ajira mkuu Sasa Siwezi kuishi bila kujisumbua walau nipate income hapo ndipo napokumbana na kasumba.
Ukimsikiliza huyu jamaa utapotea #wewe unaonekana waki sure kula kwa mamamkuu hebu tuambie huko chuoni umesomea nini ndo tukupe ushauri.kwa sababu kumshauri mtu aliyesoma computer science auze barafu dah naona hizo ni dharau coz kuna kazi nyingi za computer prgramming zinakosa watu. na vile vile kumshauri electronic engineer achome mahindi huo ni udwanzi wakati akirepair mashine moja ya photocopy ana uhakika wa kuishi wiki nzima bila kufanya kazi.
mkuu umesoma nini?
nakushauri ujiajiri kwa kile ulichokisomea hata kama ni community development ukikaa vizuri unapiga hela
kuna jamaa yangu alisomea sociology yuko anapiga kazi za baada ya kugundua kwamba jamaa wanahitaji utaalamu wake kwenye mambo ya research. hivyo akakoamaa na akaiva na mambo ya research anapigiwa simu tu kila kukicha
Hata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.Ukimsikiliza huyu jamaa utapotea #wewe unaonekana waki sure kula kwa mama
wanaohangaika ni wale ambao shuleni walienda kukariri tu mfano halisi nakupa kuna jamaa yang hajasoma hata computer science nilimfundisha kurepair laptop,photocopy machine,printers huwez amin yuko anapiga hela za kufa mtu. mashule stationary na ofisi nyingi nying wanampigia simu awarekebishieHata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.
Eti anasema waliosomea sociology na computer science hawahangaiki wakat wamejazana kibao humu wanatafuta kazi.
mkuu sirahisishi maisha mi mwenyewe nshapitia maisha magumu so naongea kulingana na experience just chochote utakachosomea utapata hela ukitune tu idea.Hata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.
Eti anasema waliosomea sociology na computer science hawahangaiki wakat wamejazana kibao humu wanatafuta kazi.
ulikosea sana kukosa sap shule kwa hiyo huku unaweza kudisco(nakutania mkuu) kwani wengi waliokuwa wanapata sap walikuwa wanacheza kotekote mtaani na shule wana piga 50 kwa 50.Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.
Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!
Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.
Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Well said.Huwezi kuwa Tajiri kama roho yako nyepesi,kama hukupata sup huenda ulitumia muda msingi kusoma au kukariri..mtaani akili ni moja kujua kuongeza thamani ya bidhaa..kuwa na upeo kabla ya wengine kuna fursa..hapo lazima utaanza safiri katika uchumi..Changamoto kama unataka kufanya biashara lazima ujue masoko na bei ya bidhaa,mipango ya TRA na halmashauri unapofanyia kazi na kutambua watu wenye nguvu katika biashara unayotaka kufanya au siasa ya hapo maeneo..hivi vitu bahati mbaya havifundshwi darasani..mimi nilipata Sup 2 sababu sikuwa nasoma kwa ajili ya mitihani ila mitihani ikkifika nafaulu au ninasup sababu mwalimu katoa sehemu ambayo sikumbuki au sikuiona kama INA msaada mtaani..
Hapa mtaani karibia nitapata Masters ya kujikomboa kifedha.
LIFE IS SO TRICKY AND LIES