Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

Aisee mimi pia ni km ww mkuu siijui sup nipo mtaani now.... No formula but ubongo ucheze tu na mazingira
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Hapo ndipo unapoanza kujiuliza mambo ya kutafuta X, Pythagoras Theorem, Difference of two Squares, Logarithms, Archimedes Principle, etc ulijifunza ya gari gani
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
Mkuu cheti cha kitaaa ni sawa na PHD holder NNE za chuo na bado hujaongeza vi degree kama sita ufikie elimu ya cheti cha kitaaa na usipokuwa makini utafeli na elimu zako zote karibu kitaaa karibu katika really life na mipractical kibao
 
Ukweli maisha ya mtaani hayana formula ya kufanikiwa, kama una capital angalia eneo lako kuna fursa za aina gani.
Kama hauna capital tafuta vibarua vitakavokusaidia kupata capital, usichague kazi kwasababu una degree, ukipata hata kibanda cha chips omba kibarua. Alafu kama una marafiki uliomaliza nao wamefanikiwa ama kujiajiri shirikiana nao wanaweza kukusaidia.
Na kwa vijana ambao bado mpo chuo msipoteze network za marafiki you never know nani anweza kukufaa baada ya hapo.
 
mkuu hebu tuambie huko chuoni umesomea nini ndo tukupe ushauri.kwa sababu kumshauri mtu aliyesoma computer science auze barafu dah naona hizo ni dharau coz kuna kazi nyingi za computer prgramming zinakosa watu. na vile vile kumshauri electronic engineer achome mahindi huo ni udwanzi wakati akirepair mashine moja ya photocopy ana uhakika wa kuishi wiki nzima bila kufanya kazi.
mkuu umesoma nini?
nakushauri ujiajiri kwa kile ulichokisomea hata kama ni community development ukikaa vizuri unapiga hela
kuna jamaa yangu alisomea sociology yuko anapiga kazi za baada ya kugundua kwamba jamaa wanahitaji utaalamu wake kwenye mambo ya research. hivyo akakoamaa na akaiva na mambo ya research anapigiwa simu tu kila kukicha
 
Ukimsikiliza huyu jamaa utapotea #wewe unaonekana waki sure kula kwa mama
 
Ukimsikiliza huyu jamaa utapotea #wewe unaonekana waki sure kula kwa mama
Hata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.
Eti anasema waliosomea sociology na computer science hawahangaiki wakat wamejazana kibao humu wanatafuta kazi.
 
Hata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.
Eti anasema waliosomea sociology na computer science hawahangaiki wakat wamejazana kibao humu wanatafuta kazi.
wanaohangaika ni wale ambao shuleni walienda kukariri tu mfano halisi nakupa kuna jamaa yang hajasoma hata computer science nilimfundisha kurepair laptop,photocopy machine,printers huwez amin yuko anapiga hela za kufa mtu. mashule stationary na ofisi nyingi nying wanampigia simu awarekebishie

the whole logic ni kwamba chochote ulichosomea just tune ya idea utapata hela.
 
Hata mm nimeshangaa anavyorahisisha maisha.
Eti anasema waliosomea sociology na computer science hawahangaiki wakat wamejazana kibao humu wanatafuta kazi.
mkuu sirahisishi maisha mi mwenyewe nshapitia maisha magumu so naongea kulingana na experience just chochote utakachosomea utapata hela ukitune tu idea.
waliojazana mtaani ujue shule walienda kukariri
 
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo.

Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado!

Wakuu wenye uzoefu huku mtaani nipeni mbinu ama kanuni jinsi ya kuingiza pesa ya halali.

Nawaahidi mkinipa kanuni izo nitazisoma usiku na mchana sitowaangusha kabisa Nina uhakika na kichwa changu Sana.
ulikosea sana kukosa sap shule kwa hiyo huku unaweza kudisco(nakutania mkuu) kwani wengi waliokuwa wanapata sap walikuwa wanacheza kotekote mtaani na shule wana piga 50 kwa 50.
ukweli ni kwamba MJINI NIPANGO SHULE UDOM hivyo jipange upya kwa maisha sasa.
 
kwanza hongera kwa kushituka mapema wengi tulistuka tushapoteza!
maswali yafuatayo yanaweza kusaidia kupata majibu
  1. ulisoma chuo gani na fani gani
  2. na ulitaka kuwa nani au wapi baada ya
    1. miaka mitatu
    2. mitano
    3. kumi
    4. 20
    5. 50 na kuendelea
  3. nje ya elimu una nini na umetoka katika familia gani
  4. je familia yako ipo tayari kukutegemeza kwa kiasi gani
  5. kama unataka kufanya biashara maswali yafuatayo yanakuhusu
    1. unaujuzi na uzoefu wa kile unachotaka kufanya? kama hauna unafikiri yupo mtu anaweza kufanya kwa kadri unavyotaka kufanya? atafanya kwa gharama gani na je unaouwezo wa kumlipa? ikibidi ujifunze unao muda na uwezo wa kugharamia mafunzo?
    2. soko likoje
      1. maitaji
      2. wauzaji na wasambazaji wengine nini uwezo wako kama kijana msomi kuweza kumiliki wateja kwa unachotaka kufanya
    3. unatarajia faida? unaipataje kwa mauzo au kwa kupunguza gharama za uendeshaji ni shilingi ngapi
    4. mtaji unategemea kuwa nini ikiwa ni fedha unazipataji zipi unazo,zipi ni mkopo na gharama za mkopo zikoje je zisije zikameza mtaji wote na faida isionekane.
    5. yapi ni matumizi yako na biashara unategemea itachangia kwa kiasi gani matumizi yako
    6. shughuli zako zinaanzaje kipi kinaanza na kipi kinaishia kwa lugha nyingine mpangilio wa shughuli zako
    7. usimamizi ukoje unao uwezo wa kusimamia mauzo,manunuzi,stock,mikopo kwa wateja,marejesho ya mikopo na je unauwezo gani wa kukabiliana na changamoto zisizo tarajiwa ambazo zinaweza kushusha uhitaji wa bidhaa yako au kuongezeka ghafla kwa wateja kusiko tarajiwa.
kwa kuanzia hayo yanakutosha japo huku uraiani sio kivileeeeeee! karibu sana
 
katika maisha kuna kitu kujiamini , kama ulivoweza kupasua chuo , namini hata kitaa utatoka tu mkuu, cha msingi tafuta mtaji ,na usiwe na haraka ya kupata faida nying maana hapo ndo kipimo cha elimu yako ya kupata mafanikio🙁🙁
 
Huwezi kuwa Tajiri kama roho yako nyepesi,kama hukupata sup huenda ulitumia muda msingi kusoma au kukariri..mtaani akili ni moja kujua kuongeza thamani ya bidhaa..kuwa na upeo kabla ya wengine kuona fursa..hapo lazima utaanza safiri katika uchumi..Changamoto kama unataka kufanya biashara lazima ujue masoko na bei ya bidhaa,mipango ya TRA na halmashauri unapofanyia kazi na kutambua watu wenye nguvu katika biashara unayotaka kufanya au siasa ya hapo maeneo..hivi vitu bahati mbaya havifundshwi darasani..mimi nilipata sup mbili sababu sikuwa nasoma kwa ajili ya mitihani, ila mitihani ikifika nafaulu au ninasup sababu mwalimu katoa sehemu ambayo sikumbuki au sikuiona kama ina msaada mtaani..
Hapa mtaani karibia nitapata Masters ya kujikomboa kifedha.
LIFE IS SO TRICKY..
Kama mhitimu wa uaskari jeshi anaposhushwa DRC ndivy kwa graduate anapofika mtaani, hakikisha una uwezo wa kutazama jambo katika 3D kabla hujaweka fedha yako..usiogope hasara ila utambue unahitajika kuwa makini
 
Huwezi kuwa Tajiri kama roho yako nyepesi,kama hukupata sup huenda ulitumia muda msingi kusoma au kukariri..mtaani akili ni moja kujua kuongeza thamani ya bidhaa..kuwa na upeo kabla ya wengine kuna fursa..hapo lazima utaanza safiri katika uchumi..Changamoto kama unataka kufanya biashara lazima ujue masoko na bei ya bidhaa,mipango ya TRA na halmashauri unapofanyia kazi na kutambua watu wenye nguvu katika biashara unayotaka kufanya au siasa ya hapo maeneo..hivi vitu bahati mbaya havifundshwi darasani..mimi nilipata Sup 2 sababu sikuwa nasoma kwa ajili ya mitihani ila mitihani ikkifika nafaulu au ninasup sababu mwalimu katoa sehemu ambayo sikumbuki au sikuiona kama INA msaada mtaani..
Hapa mtaani karibia nitapata Masters ya kujikomboa kifedha.
LIFE IS SO TRICKY AND LIES
Well said.
Kingne Cha kuongezea Ni kwamba mtaani ukisubiria kufundishwa kila kitu bado utafeli coz wajanja wanacheza na trends inavyokwenda.
Kwa mfano Sasa hv ukifundishwa kuhusu biashara ya kuuza futari ukianza kuielewa unakuta wenzako washahama kwenye kuuza futari wamehamia kwenye kuuza miamvuli.
Ukianza kuiga kuhusu biashara ya miamvuli unakuta wenzako wamehama wanahamia kwenye kuuza mbolea ya kukuzia mazao,ukiwaiga biashara ya mbolea unakuta wenzako wamehama wamehamia kwenye kuuza magunia ya kuhifadhi mpunga.
Kwa hyo utajikuta kila siku ww ni mgeni.
 
Kama hukusapua huko jipange kusapuka kitaa....na ukiwa legelege hahaha unadisco hivihivi unajiona
 
Usipokua makini kwa elimu ya mtaani lazima udisco success!
 
Huku kitaa noma wanaume feki wameshaolewa
 
Back
Top Bottom