Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #121
kwangu mie hiyo sio lazima kabisa, cmpi/acnipe yake....yaeh kuna privacy jamani.
Thx nyamayao...Nahisi kuna ulazima wa kukubaliana madhali mume na mke nyote mpo nyumbani, ni bora anayetaka wapigia awapigie kwa Landline jamani.
Hizi mobile fone zikiwa on majumbani zinazua maswali mengi kuliko majibu. Mtu mzima anapigiwa simu anajifanya eti hasikii, au hamjui aliyepiga, ...ukimwangalia vizuri unamwona macho yamemtoka!
Kwa wale addicts wenzangu wa jf na mitandao, tuwafikirie wenza wetu pia. Kuna time ya kudiscuss maisha na mwenzako, sio inakuwa Jf tenaaa..hulali mawazo yote kwa mwj1, nyamayao etc lol!