Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

kwangu mie hiyo sio lazima kabisa, cmpi/acnipe yake....yaeh kuna privacy jamani.

Thx nyamayao...Nahisi kuna ulazima wa kukubaliana madhali mume na mke nyote mpo nyumbani, ni bora anayetaka wapigia awapigie kwa Landline jamani.

Hizi mobile fone zikiwa on majumbani zinazua maswali mengi kuliko majibu. Mtu mzima anapigiwa simu anajifanya eti hasikii, au hamjui aliyepiga, ...ukimwangalia vizuri unamwona macho yamemtoka!

Kwa wale addicts wenzangu wa jf na mitandao, tuwafikirie wenza wetu pia. Kuna time ya kudiscuss maisha na mwenzako, sio inakuwa Jf tenaaa..hulali mawazo yote kwa mwj1, nyamayao etc lol!
 
Yani umenikuna , upo na mtu 24/7 ana chat mwenyewe umejihesabia mtoko wako mkifika huko mwenzio bize na simu yani zile hasira zangu hazikawii na utamu wa kuwa wote unaisha kabisa.

Thx nyamayao...Nahisi kuna ulazima wa kukubaliana madhali mume na mkeNyote mpo nyumbani, ni bora anayetaka wapigia awapigie kwaLandline jamani. Hizi mobile fone zikiwa on majumbani zinazuaMaswali mengi kuliko majibu. Mtu mzima anapigghwa simu anajifanya eti hasikii, au hamjuiAliyepiga, ukimwangalia vizuri unamwona macho yamemtoka!Kwa wale addicts wenzangu wa jf na mitandao, tuwafikirie wenzaWetu pia. Kuna time ya kudiscuss maisha na mwenzako, sio inakuwaJf tenaaa..hulali mawazo yote kwa mwj1, nyamayao etc lol!
 
mbu hamna ulazima wowote wa kupeana password za vitu ulivyotaja lakini pia si uvamizi kwa maana huyo ndiye uliyeridhia kuwa mwandani wako so why to hide anyway. hapo unaanza kumpa wasiwasi maana kwa kutumia kigezo cha kuaminiana kunawafanya wa take advantage. pia si issue ya kuchunguzana ila ni issue ya kumfanya ajifeel zaidi kwamba she or he the only kwako. kwa mfano mimi mwandani wangu ana uhuru wa kutumia simu yangu anytime she need it but haruhusiwi kupekua wakati sipo ni makubalianao tu. but kama una panya zako yuo have to be so careful unaweza kuwa ndio mwisho wa mahusiano yenu. so you are the judge which way is right for u depending with your back screen yako ni mawazo yangu lakini
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Thanks; ila kuna situations nyingine nikiamua kulet it go l mean nisiargue, watu wanaona au nimedharau (l think dharau is my other weakness) au nimeboreka! I am very readable, l mean expressionwise na siwezi kuhide hisia; kwahiyo kama l am not well convinced bado mtu atajua hata nikimwambia l aggree with you!Currently nakaa na nephew wangu, a teeneger kamaliza form 6, napata shida what not to do! Ni argue au nimuache awin, sitaki apoteze confidence na pia nataka awe ana question every assumptions! Coz sometimes l argue ili kuexplore other options! So shida yangu ni how to let a person win an argue na afeel kweli amewin!Again nawashukuru sana for this!
Tabia ya kupenda ku-explore mambo zaidi na kutaka details zaidi mpaka uridhike hiyo ni personality ya mtu na haiwezi kubadilika ila mtu anaweza tu ku control ili asiumize watu wengine/ hisia za wengine, hiyo ya dharau punguza sio nzuri but kuhusu nephew wako bado ana learn vitu vingi na personality yako mara nyingi ni msaada sana kwa mwanafunzi kwasababu anaweza ku explore vitu vingi kwenye shule yake. hongera sana kwa kujitambua kiundani, very good
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamani kinga ni bora kuliko tiba!
Na ugonjwa wa mistrust sidhani kama una tiba, hasa kwa wapenzi wa ukweli!

Kupeana mipassword ni sawa na kuleteana matatizo; wengi wetu humu ni wafanyakazi, imagine how you joke with ur coleagues; maforward ya emails mnayotumiana; yote hayo yawe exposed kwa mwenzi wako sidhani kama ataamini ni utani tu! Mfano mdogo humu ndani ya MMU sidhani Kama wenzi wetu wanajua id zetu na password zetu!

Imagine mwenzio kakuta SMS or email ya utani? Do u think ataamini kuwa it's just a joke? Hapo ndipo kutoaminiana kunapambo moto; na zingatia kuwa kuanza kupekua pekua ni kutafuta makosa na frankly speaking ukitafuta makosa utayapata tu, kwani unamagnify hata kakitu kadogo.

So mi sifagilii kabisa kupewa password zozote, kama ni lazima fungueni email ya pamoja n tell ur buddies/ndugu kuwa that is a shared email acount.
 
My one and Only!!........... hii thread imeni'kuza na kunikomaza' kimahusiano. Unajua nilikuwa sielewi why mtu anaamua tu kuwa hataki kunielewa..mbishi kupindukia? Yaani kwake mie siwezi hata kuchangia chochote akanielewa au akakubali kuwa niko sahihi. Nitakupa mfano mmoja mdogo, kuna siku tulikuwa barabarani tukawa tumesimamishwa na trafik, bahati mbaya alitusimisha very close na yeye, so mie na unaive wangu nikajua tunatakiwa kusimama mbele kidogo, but hatukusimama akapita; kwa mshangao wangu nikauliza why, akasema atanisimamishaje karibu namna ile...........I asked lakini si unatakiwa kusimama mbele kidogo pale inaporuhusu? akabisha na kwa bahati mbaya ndo nikawa nimesababisha siku kuharibika.

Sasa kwa mtu kama huyu sikuwa ninamwelewa kabisa, nilikuwa always nachukulia kuwa hanithamini, ananidharau kuwa sijui kitu n.k n.k.............lakini kumbe wengine ni tabia ambayo bahati mbaya pia inajengwa kutokana na malezi. Kama utotoni ulikuzwa na mzazi ambaye s/he was always criticizing you basi alikuwa anaiua confidence yako, na matokeo yake ukiwa mkubwa utajaribu kuiwin back na kuonyesha kuwa unajua even in a very stupid way like kubishia kila kitu............hatimaye wangu nilikuja mwelewa na kwa kupitia thread hii nimeelewa vizuri zaidi.

Aksante sana Mbu na wachangiaji wengine wote kwa kunifanya mtu mpya kimahusiano.
Thanks sana MJ1 kwasababu haya maneno yako yamekumbusha kitu ambacho nilikisahau kabisa kwenye maisha yangu, impact ya malezi ya mtu alipokuwa mtoto kwenye utu uzima wake. Yani leo ndio nimegundua kuwa partner wangu mama yake hakuwahi kumnyima kitu au kumkatalia kitu utotoni kwake basi impact yake imekuwa kubwa mno kwa sasa ambapo ni mtu mzima, hawezi ku interact vizuri na watu, asante sana kwa kunisaidia kugundua hilo tatizo. Hakika hii thread ya Mbu imetusaidia wengi, asanteni wote kwa kuchangia, mmetusaidia sana
 
Mwj, One and Only, na wengineo mliofaidika...Mbu furaha yake ni kuleta faraja na matumaini mapya. "Akili ni sawa na mwavuli, mpaka utapoukunjua ndipo utapokukinga na jua/mvua!" ...Muwe na heri na baraka kwenye ufunuo mpya.
 
Hahahah Mbu .......hapa nadhani ni makubaliano pia yana huu.mfano mie niliamua kumpa passwords zangu zote (ingawa ilinicost- kama alivyosema Chauro too much uwazi). But when I did that I wasnt expect him/wala sikuwahi kunote kuwa yeye hajanipa...........to me it was a way of making him trust me completely. Kwake sikuhitaji hilo kwani nadhani niliamua tu kumtrust na nadhani ndio maana niliumia sana baada ya kujua ukweli.

Tabia yangu nyingine sijui iite mbaya au vije: Mwenzenu mie kuomba sijui!! yaani enzi zile za ubf na uchumba wakati tuko mbalimbali nina shida siweziomba-si kwamba nilikuwa nazo la hasha ila tu ni tabia tangu utoto (Nilizoeshwa na malezi ya shida utotoni-ukiwa na njaa unaogopa kusema; huna pesa ya shule -boarding unaogopa kusema - yaani maisha ya uwoga -nadhani nikisema hivi wengi mnaelewa nina maanisha nini) Hii imeniathiri mpaka ukubwani na matokeo yake naambiwa nina jeuri.

Hii imenipepekea kujitegemea zaidi kiasi kwamba hukwaruzana na mwenzangu pale ninapomwambia kuna dili nalifuatilia hebu nitafutie ED ya wiki moja au mbili! Huwa anakuja juu sana (hasa kama linahusisha safari au kulala nje ya nyumbani). lakini pia kuna kipindi ilikuwa inanicost pale ambapo mwenzangu alijisahau majukumu yake nyumbani- maana akirudi anakuta kila kitu kipo na mimi wala sioni tabu.

Natamani sana niishi kiuanamke lol............he used to tell me to be a lady loh.........kumwelewa ilikuwa ngumu kwa kweli na mpaka sasa sijafaulu.

You are Joking, aren't you?
Mwanaume akikwambia hivyo, jua anataka 'ufanane fanane' na hulka za mama yake/mama mlezi wake.
Kina mama msinijie juu, kama nanyi ni wazazi wa watoto wa kiume, ipo siku mtafurahia mwanao akijisifia
Mama yake ndiye special lady, hakuna wa mfanowe!
 
hahaha haya bwana...cnaga za hivyo, sema nikipandwa na hacra kuzishusha ni ngumu sana, huwa anajitahidi acnijibu coz tunakuwa tumeingia kwenye ushindani sasa mpaka nitulie tuweke mambo sawa....

Mnh, dadangu I hope hizo hasira zako sio zile za kuvunja vunja kila kitu na kurarua nguo za shemeji!
Kuna watu wana visa majumbani acheni tu! ...hasira zile tunazoita za kutiana hasara!
 
Yani umenikuna , upo na mtu 24/7 ana chat mwenyewe umejihesabia mtoko wako mkifika huko mwenzio bize na simu yani zile hasira zangu hazikawii na utamu wa kuwa wote unaisha kabisa.
aisee... hii sredi imetoa siri za watu!!
 
You are Joking, aren't you?
Mwanaume akikwambia hivyo,
jua anataka 'ufanane fanane' na hulka za mama yake/mama mlezi wake.
Kina mama msinijie juu, kama nanyi ni wazazi wa watoto wa kiume, ipo siku mtafurahia mwanao akijisifia
Mama yake ndiye special lady, hakuna wa mfanowe!
swahiba hapo hata mie umeniacha hoi... Hivi wale wastaarabu na wanajua kabisa mama zao hawafai kwa maneno nao waksiema be a lady wanataka ufanane na mama jamani??

anyway, nayaacha hayo.... we can go a mile to discuss this but the fact remains the same, it is very difficult to understand a creature human being... be a male or female
 
kitu ambacho nimeshindwa kujirekebisha kabisa kwenye ni "kinyongo" huwa nina kinyongo sana esp nijue kabisa hapa nadanganywa na nina hakika unanidanganya then hutki kuniambia ukweli bado mbishi tu na bac hapo kinyongo changu hakiishi, ukitaka kiishe niambie ukweli, eg wakati ule nilipomfumania alianza maelezo akitanguliza uongo uongo fulani kujitetea nilimshikia bango na ndio ingekuwa mwisho wetu ule lakini alivyosema ukweli roho ilitulia na kinyongo kikaisha, cpengi kudanganywa nikijua nadanganywa...kitu kingine ni "ukali" hili watu wengi esp mr huwa ananiambia mie mkali, lakini kila mwenzangu anaponiambia nipunguze cjijui naupunguzia wapi au nianzie wapi, hapa cjuagi kabisa nifanyaje....kingine ni kulalamikiwa bila sababu maalum, mr ana ile tbia kama akikucal/sms umeshindwa kujibu kwa wakati maalum bac hapo tatizo tayari, ntahicwa/shutumiwa kwa kila aina ya jambo.

...mnh, "hata nguo ukiikamua sana huchanika..!"...punguza hiyo tabia ya kung'ang'ania kuambiwa ukweli.
Tambua kwa tabia yako hii, unalazimisha kuambiwa uwongo zaidi kwakuwa akilini mwako unakusudia upatiwe jibu fulani.

Nahisi tayari mumeo nae keshajua ni uongo gani akikwambia utakubalika kirahisi kwako ili yaishe.
Siku utayokuja tambua kumbe haikuwa vile, hakika utajilaumu sana. Jifunze kuamini ewe dada'ngu.
Huwezi kupata ushahidi kamili wa kila kitu. Kulazimisha uambiwe ukweli ni kujiondolea furaha tu maishani.

Acha!

Mie kwakweli na hasira za haraka limenifanya mara nyingi nionekane mkorofi,lakini huwa sijui kuweka kinyongo nikikasirika ntakwambia na ndio imeisha huwezi nisikia nakumbushia makosa yaliyopita.

sasa sijui na hii ni tabia mbaya na imenishinda kuacha kabisa, huwa napenda kuwa muwazi sana kwa mweza wangu wakati mwingine huwa najikuta nimemueleza vitu ambavo nahisi sikutakiwa kusema,ukikuta sio muelewa basi ndo kinabebewa bango mwaka wote.

Napenda sana kuwa na marafiki zangu na wakati mwingine huwa nasahau kuaga basi tifu lake, taratibu siku izi nimejifunza kuaga ingawa wakati mwingine bado najisahau.

DAAH, hiyo tabia ya kuondoka bila kuaga ni tabia mbaya sana.
Kiini chake ni kwenye malezi utotoni nini?
Hebu badilkika bana, kuaga kunaepusha mengi.

(Mw'Mungu apishilie mbali,) Waweza pata ajali, au panaweza tokea msiba nyumbani wewe ukawa huna habari,
Ni muhimu ujulikane wapi umekwenda ili kuondoa mashaka,
au kurahisisha kutafutwa iwapo kutakuwa kumetokea dharura yeyote.

Badilika bana.
 
swahiba hapo hata mie umeniacha hoi... Hivi wale wastaarabu na wanajua kabisa mama zao hawafai kwa maneno nao waksiema be a lady wanataka ufanane na mama jamani??

anyway, nayaacha hayo.... we can go a mile to discuss this but the fact remains the same, it is very difficult to understand a creature human being... be a male or female

kamanda,...
ndiyo maana nikaiwekea mabano madogo ya 'afanane fanane!'...kwa maana si kila tabia ati!
Ukiangalia, Mwj1 amezungumzia suala la kuchakarika kufidia pale anapoona pamepwaya,....
Yule shemeji yetu, yeye kwa mtizamo wake alamwambia Be a lady!... tafsiri ya haraka haraka kajifunzia wapi kwamba baba analeta
kinachokosekana nyumbani?...this starts from our childhood mkuu.

Malezi ya utotoni ndiyo yanayo influence kwa kiwango kikubwa maisha yetu ya usoni. Kuna mamuzi mengi ambayo unayachukulia in reflexes kwakuwa tayari kwenye ubongo ilishakuwa stored kwa jinsi ulivyowaona mama na baba wakishi.
Tafakari mkuu, ipo siku utakuja gundua ni kwa jinsi gani malezi yako yame influence maamuzi yako kwenye ndoa. Kama huamini, Ongea/muulize mwanao General questions , nakuhakikishia majibu yake kwa asilimia kubwa yatatokana na experiences zenu hapo nyumbani. - "Mtoto Umleavyo!" -
 
kuna ukweli sana aisee.... sasa na hawa wachakachuaji inakuaje?
 
....sitaki mkuu, wamenielewa.... naomba wasinipige mawe

dahhh, haya bana,

umeniacha 'salender' na kiswahili cha kisasa.
kuna haja nianze kukipiga brush upya kimrima (kiswahili) changu kiendane na slangs za mujini!
 
dahhh, haya bana,umeniacha 'salender' na kiswahili cha kisasa.kuna haja nianze kukipiga brush upya kimrima (kiswahili) changu kiendane na slangs za mujini!
Kama nimemsoma MTM vizuri (naomba usinishushue bro) anamaanisha wale ambao wako ndani (ya ndoa/mahusiano) ila hawaishi kutoka nje!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama nimemsoma MTM vizuri (naomba usinishushue bro) anamaanisha wale ambao wako ndani (ya ndoa/mahusiano) ila hawaishi kutoka nje!!!

Lizzy,

...mmnnn? hivyo ni vijitabia vya kujifunzia 'ukubwani,'...hakuna aliyejifunzia hilo kwa baba/mama. Kwa tuliosoma Boarding Schools (za mchanganyiko) nadhani 'tatizo' lilianzia hapo...

...Shuleni ilikuwa competition ya popular girls/boys (kwa kina dada),....kisha unaendelea nayo Colleges/Uni...baada ya kumaliza mwaka wa kwanza, kisha taratibu unaanza kupunguza idadi vs siku 365 za mwaka.

By the time unaanza apprenticeship, unakuwa na kauwoga ka mtu kung'ang'ania/kuhamia..
...unaishia kuwa na long term partner, mostly ni yule mliyekua nae mtaani, au mliyekutana nae College/Uni,
na wachache kwenye hizo 1st work experiences.

Ukiona mtu anaendeleza 'libeneke' ujue kuna hitilafu kwenye self esteem yake, kiasi kwamba kuongeza idadi kunamsaidia ku boost ego ya kitu kilichokosekana kwenye hatua mojawapo ya makuzi yake.

Hivi, nani miongoni mwetu aliye tayari ku confess ni serial cheater hapa?
Ajitaje tu nitamsaidia mawazo...si mnatumia Annony names bana, lol!
 
Back
Top Bottom