OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
itundike hata juu ya feni itakauka vizuri tu
Ha ha ha ha nyumba haina hata ceiling we unaongelea feni..........acha mazereu banaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itundike hata juu ya feni itakauka vizuri tu
Naanika nje kwenye kamba baada ya kuifua jioni na kuikamua sawa sawa ili kesho niivae tena.
jf is never boring...
bora we unayo moja kuna watu pichu kwao ni msamiati tata kwelikweli!
kwa kusepetuka zilikua ndio zenyewe zile kitu,zinaweza kukutia aibu popote bila kujali umaarufu wakokumbe na wewe chupi za vip ulivaa enzi zile?
Dah hii nchi tumetoka mbali lol
mimi sifuagi so sijwahi kuanika mahali popote
mimi sifuagi so sijwahi kuanika mahali popote
Snowhite, disposable ni zipi tena. Si ni lazima ziwe za mpira? Si utakuwa unanuka kila saa ukipita kwenye jua. Acha tu sisi tuvae hizi za vitambaa, tunaanika humuhumu kwenye kamba za home na dada zetu wananika zao hapohapo, cha ajabu ni nini, si kila mtu anavaa. Wewe endelea tu na hizo VIPI zako.
Sijui mimi mshamba? Lakini binafsi tabia ya kuanika kufuli nje inanikera sana aisee.
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
Haya mambo makubwa. Umenikumbusha jamaa aliyeona chupi ya mke wa jirani yake, na siku moja baada ya ugomvi kidogo jamaa akaamua kumwambia jirani yake rangi zote za chupi za mke wake. jambo hilo lilizua ugomvi kati ya wana ndoa wale hadi ndoa ikavunjika. Tahadhari sana, mtu asije akaiona chupi ya mke/mme wako.
au huwa huvai kabisa sipati picha ndizi na maparachichi vikiwa bare!