Chupi yako unaanika wapi.................?

Chupi yako unaanika wapi.................?

chupi ianikwe sehemu ya wazi, tena ikauke vizuri, ikipata kuaka kwa joto la jua inakuwa vizuri zaidi...
watu hatuelewi kuwa chupi huifadhi maeneo delicate ya mwili wetu esp wanawake, very succeptible to fungi, bacteria na parasite wengine ambao huzaliana kutokana na un hygienic behavior zetu... mambo ya kuoneana aibu yamepitwa wakati, kila mtu anavaa chupi... kitaalam angalau chupi ivaliwe mara moja kwa siku.

haijalishi unakaa uswahilini au uhindini, tufue na tuzianike zipate hewa na zikauke vizuri kabla ya kuvaliwa...mengine haya ni porojo tu...

nimemaliza,
its me dr. MziziMkavu, jr
 
Last edited by a moderator:
Sijui mimi mshamba? Lakini binafsi tabia ya kuanika kufuli nje inanikera sana aisee.
 
mhh kazi kwelikweli!!!
siku hizi kuna vile vidude vya plastiki vya kuning'inizia vina vibanio hivi....basi vile vinafaa sana unakiweka sehem nzuri hata chumbani kwako kama una room isiyo masta unatundika kyupiz zako aaaagh...bila jirani kujua leo umeanika yenye matundu au madoa au mpya!!!!
 
bora we unayo moja kuna watu pichu kwao ni msamiati tata kwelikweli!

Hehehe hao wanajipatia hewa bibi weee kiupepo kinapita bila ya tabu lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Nawashangaa wale ambao mpaka leo day in day out wanatumia kufuli za kufua na kuanika, kwanza huo muda, sabuni, maji gharama zake ni kubwa kuliko hizi za disposable.

[TABLE="width: 595"]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"]
460tn.jpg
[/TD]
[TD="width: 363, align: left"]
Ladies Disposable Panties
Made of extra soft polypropylene, These disposable panties for women are styled as a brief and feature a 100% cotton crotch liner with a fashionable pico lace trimmed waistband and leg openings for a snug fit. Every package contains 5 white individually wrapped panties. Wear & discard! Perfect for menstrual days, hospital stays, spa visits, while traveling, camping, before or after workout.
Style 460
Color: White, Black
Size fits hips: small 34-38, medium 38-42, large 42-46,
x-large 46-50, 2x 50-54
Price: $6.99 per 10 pack / $19.99 per 30-pack
Size: Quantity:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"][/TD]
[TD="width: 363, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"]
461tn.jpg
[/TD]
[TD="width: 363, align: left"]
Womens Disposable Thongs
Made of extra soft polypropylene, These disposable thongs are feature a polka dot pattern in different colors and are trimmed with fashionable pico lace in the waistband and leg openings for a snug fit. Every package contains 7 individually wrapped thongs. Wear & discard! Perfect for menstrual days, hospital stays, spa visits, while traveling, camping, before or after workout.
Style 461
Color: White, Black
Size fits hips: small 34-38, medium 38-42, large 42-46,
x-large 46-50, 2x 50-54
Price: $3.99 per 7 pack / $14.99 per 28-pack
Size: Quantity:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"][/TD]
[TD="width: 363, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"]
462tn.jpg
[/TD]
[TD="width: 363, align: left"]
Mens Disposable Briefs
Made of extra soft polypropylene, these mens disposable underwear feature a convenient fly opening and comfortable elastic leg bands. 1/2" wide elastic waistband ensures a snug fit. Wear while traveling, camping, before or after workout, during hospital stays, and spa visits. Wear and discard.
Convenient packs of 5 in the size of a postcard.
Style 462
Color: White, Black
Size fits waist:
small 30-32, medium-34-36, large-38-40, x-large 42-44, 2x 46-50
Price: $6.99 per 10 pack / $19.99 per 30-pack
Size: Quantity:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"][/TD]
[TD="width: 363, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 130, align: center"]
463tn.jpg
[/TD]
[TD="width: 363, align: left"]
Mens Disposable Boxers
Made of extra soft polypropylene, these mens disposable boxers feature a convenient fly opening and 1/2" wide elastic waistband for a snug fit. Wear while traveling, camping, before or after workout, during hospital stays, and spa visits. Wear and discard.
Convenient packs of 3 in the size of a postcard.
Style 463
Color: White, Black
Size fits waist:
small 30-32, medium-34-36, large-38-40, x-large 42-44, 2x 46-50
Price: $6.99 per 6- pack / $19.99 per 18-pack
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Tena hizo ndio bei ya reja reja, ukinunuwa jumla ni rahisi zaidi.
 
Snowhite, disposable ni zipi tena. Si ni lazima ziwe za mpira? Si utakuwa unanuka kila saa ukipita kwenye jua. Acha tu sisi tuvae hizi za vitambaa, tunaanika humuhumu kwenye kamba za home na dada zetu wananika zao hapohapo, cha ajabu ni nini, si kila mtu anavaa. Wewe endelea tu na hizo VIPI zako.

umenionea lakini,mi sijasema navaa disposable!duh si itakuwa balaa!
 
Ni juani ili ikauke vyema,ila wengine wanaogopa hawatakatyishi au zimetoboka wanaficha chumbani,ila si nzuri kwa afya.
 
Jifunze, ck moja moja kama jumamosi hivi unazifua zote then unazianika juani zinapigwa hewa, zinakauka , ikibidi zile zenye material ya pamba unazipasi pia

Sijui mimi mshamba? Lakini binafsi tabia ya kuanika kufuli nje inanikera sana aisee.
 
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

duh,we utakuwa familia bora!!sie wahuku Kibera never ever
 
Haya mambo makubwa. Umenikumbusha jamaa aliyeona chupi ya mke wa jirani yake, na siku moja baada ya ugomvi kidogo jamaa akaamua kumwambia jirani yake rangi zote za chupi za mke wake. jambo hilo lilizua ugomvi kati ya wana ndoa wale hadi ndoa ikavunjika. Tahadhari sana, mtu asije akaiona chupi ya mke/mme wako.

Je ni ipi bora? aneyeona chupi na kinachofichwa na chupi na yule anayeona chupi lakini haoni kinachofichwa na chupi?
 
Back
Top Bottom