Chupi za kike sio kwaajiri ya kujistiri tu bali pia husaidia kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume

Chupi za kike sio kwaajiri ya kujistiri tu bali pia husaidia kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume

mi bora nivae ule mchupi kama wa nandi ila sio hayo manati mwishoni apo,,mda wote kamba zinafyata kwenye mfereji wa equator,kufyatua mbele za watu aibu.
Aisee mie maenyewe na shangaaga hivi mwanamke anakuwaje comfortable kale kakamba kakiwa katikati ya mabonde has ukizingatia demu mwenye ni Tz 11🤣🤣🤣
 
ni kweli mkuu..

chupi ina leta mzuka..
niliona clip moja sijui kungwi ana washauri wadada wakae uchi ili kuwavutia wanaume.. nkasema sijui kila mtu alivyo umbwa.. mimi binafsi sivutiwi na uchi wa mwanamke ila awe nusu uchi.. yaani mali iwe ime fichwa fichwa..

siyo mali ipo ipo tu..

hata, nikipiga cha kwanza, nta taka avae hata khanga ili kuficha mali.
Duh! Kweli duniani kila mtu na mapendeleo yake
 
Back
Top Bottom