Chura kuwa wengi Dar inasababishwa na nini

Hawa viumbe Wameamua wenyewe siku hizi kutunuku ndogo zao mkuu
 
Chura anaish mazingira favourably na suitably.. Kama hakuna mazingira yakumfanya aish at a disappear...
So mazingira yake yanampa uhalali
 
Yaani baada ya miaka mitano hao chura watatoweka kama wale wa kihans
Mkuu sio kuwa wataongezeka kwa kasi ya ajabu
Maana kuna za mchina na nyinginezo
Zitatowekaje mkuu
 
Chura karudi tena uwanjani
 
Nyie jamaa wa mikoa bwana... mkija town kila kitu mnashangaa...
Hawa wa huku hawabeb ndoo kichwan.. hawatwangi mahindi... wala hawatembei mwendo mrefu...lazima kyura kiwepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehh!

mie Niko flat kama pasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…