Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Minah24

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1,043
Reaction score
1,937
Wanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa

Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe

Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
42699653_1893342200748181_2495883775779536896_n.jpg.jpeg
42790094_1893341780748223_3114975763577700352_n.jpg.jpeg
42727216_1893341987414869_999806259806863360_n.jpg.jpeg
 
Hata unamakunyazi yanapotezwa fastaaaa na tunakusahau

#NguvuYaMakeUp
42812333_1893342107414857_3341667745233108992_n.jpg.jpeg
 
chamsingi chini msiaze kupaka make up
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kuna valiwa vipin ckuiz..

MakeUp bado ila huenda hapo baadae zikawepo,watu wanabun vitu kila kukicha,Wanaeza pata chochote chakupaka huko ili kuvutie
 
Taratibu sasa, hao ni wanaume wa namna gani? Au pengine sifahamu maana nzuri ya make up?
Wanaume kama wanaume

Kama Joti anavyokuwaga Dada kiboga
Huwa Anapendeza right???
 
Halafu na hayo mabaka baka ya kwenye sura zao ni kweli au niaje aje?

Excuse my language.
Ni uso wa mtu ulivyo,huenda ikawa aliungua na kemikali za kwenye vipodozi au ndivyo alivyozaliwa
 
Back
Top Bottom