Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kweli naweza kua kijana kama shosti mama mondiMama diamond ni mfano hai ,akipigwa makeup unamsahau kabisaaa
dah kum+amake tunaibiwa iviWanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa
Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe
Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
View attachment 960437View attachment 960438View attachment 960439
Mwenye Kupenda Haoni Hata Chongo Atasema Kengeza 😂😃😁😀✍Ukishampenda huezi kukumbuka kumpa maji anawe,utamwangalia tu nakusmile uku ukisifu umbaaji wa mungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza hiyo sura yako imeshindikana acha utatisha watu.Dah! Kuanzia leo nitaanza rasmi kupaka makeup
Wanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa
Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe
Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
View attachment 960437View attachment 960438View attachment 960439