Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Mtu anaacha mke mzuri nyumbani anakutana na kitu make-up ana changanyikiwa wakati hata mke akipaka anaweza mshidi hata huyo lakini ndiyo hivyo tukale wapi !
Ukijua unachokihitaji makeup za barabaran hazitakuchanganya kamweh,
Tena kama unapenda unamshauri wife apake itakuwa poa zaidi
 
Ivi kumbe na kope hua wanazichana maana zimechambuka[emoji16][emoji16][emoji16]
Kope hubandikwa za bandia kama nywele vile watu wanavyo vaa wigi au Kishinea weaving
 
Ntakuwa nawavizia mkiwa hamjapaka madude yenu hayo
Ukishapenda hautakuwa na huo muda labda kama uwe umebeba tu huko barabaran kwa ajili ya starehe ya muda mfupi ndo utapata huo muda
 
kwani wanawake wote wa kuoa wapo na mapendeleo ya kuvaa hizo make up?!
napenda natural ni kweli.

cc bbade
Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kujipodoa ,nafikiri ni kwasababu ya kuongezeka kwa watoa huduma hii kuwa wengi kwasasa
Na bei pia kuwa affordable
Tafuta mke mapema mkuu asije ukakosa
 
Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kujipodoa ,nafikiri ni kwasababu ya kuongezeka kwa watoa huduma hii kuwa wengi kwasasa
Na bei pia kuwa affordable
Tafuta mke mapema mkuu asije ukakosa
kwasababu ya kuongezeka kwa watoa huduma au kuongezeka kwa wataka huduma?

acha niendelee kusakasaka wasiovaa hizo make up nioe fasta kabla hawajaisha wote! [emoji119][emoji119][emoji41][emoji41][emoji41][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom