Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

kwasababu ya kuongezeka kwa watoa huduma au kuongezeka kwa wataka huduma?

acha niendelee kusakasaka wasiovaa hizo make up nioe fasta kabla hawajaisha wote! [emoji119][emoji119][emoji41][emoji41][emoji41][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Watoa huduma za makeup ni wengi ,wameanzisha mpk madarasa ya urembo
Wahitimu tunao mitaan wanatufanyia makeup kwa bei rahisi sana

Wahi mkuu hao wasiojipodoa kabisa wapo wachache ata ukimpata anaeza kuta ana lipstick kwa midomo yake
 
Utarudi kuwa kigoli,uendelee kumpagawisha Dadiiii!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Heheheheheheh huwa napaka light make up mara moja moja na huwa napaka mwenyewe sio ile yakibadilisha taswira laah.

Mie mwenyewe tuu kiasili sio mtu wa urembo urembo...
 
Heheheheheheh huwa napaka light make up mara moja moja na huwa napaka mwenyewe sio ile yakibadilisha taswira laah.

Mie mwenyewe tuu kiasili sio mtu wa urembo urembo...
Izi za kubadilisha taswira muachie mama Diamond kwakwel
_20181212_093941.jpeg
 
Back
Top Bottom