Taratibu sasa, hao ni wanaume wa namna gani? Au pengine sifahamu maana nzuri ya make up?Hahahaaaaa
Hata mwanaume akifanyiwa make up,unaeza usimjue
Halafu na hayo mabaka baka ya kwenye sura zao ni kweli au niaje aje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chamsingi chini msiaze kupaka make up
Aaah sio lazima ajue kuogelea anaweza akakaa tu kwenye maji halafu tunarushiana mpira ,namlia timing namkung'uta na mpira wa kichwa lazima kizame kwenye majiHahahahahaaaaaaas!!!!
Umetisha sana mkuuu
Kama hajui kuogelea utafanyaje??