Chura sina na sura nayo nisipake makeup? Before & After

Aaah sio lazima ajue kuogelea anaweza akakaa tu kwenye maji halafu tunarushiana mpira ,namlia timing namkung'uta na mpira wa kichwa lazima kizame kwenye maji
[emoji23][emoji23][emoji23]umejua kunichekesha khaa
 
Huyu ukimzamisha kwenye swiming pool akitoka unakimbia mbonaa
 
Attachments

  • 42921970_1893342387414829_4721269798292422656_n.jpg.jpeg
    39.2 KB · Views: 59
He mm nikitaka kumtongoza dem saiv hadi anawe na sabuni ya unga na brash usoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Mungu wangu![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simnapenda mademu visuuuuuu!!
Ukianza huo utaratibu utakosa wengi sana

We ukimpata na makeup zake nawewe mnunuelie nyingine,tena agiza njevya nchi zile zenye ubora wa hali ya juu
 
Mungu wangu![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Umeshtuka kama ndo umeamka asubui alafu unamkuta mrembo uliebeba jana club katoka kuoga
 
Wanaume kama wanaume

Kama Joti anavyokuwaga Dada kiboga
Huwa Anapendeza right???
Hahaha. Umenifanya nicheke kwa huu mfano wako.

Dada kiboga ndiyo yule kwenye tangazo la tigo? Anatokwa na machozi?
 
Hivi ni kweli kabisaa makeup ndo inabadilisha Ivoo?
Yeah nimakeUp
Ukitaka kuamini tafuta picha ata za Wema akiwa hana makeup utauona utofaut
 
Hahaha. Umenifanya nicheke kwa huu mfano wako.

Dada kiboga ndiyo yule kwenye tangazo la tigo? Anatokwa na machozi?
Haswaaaa...
Ni mrembo au sio???[emoji23][emoji23]
 
Utakuwa msupuu balaa!!!
Chamsingi upate mtu anaweza kukupaka vizuri ,ucje ukaenda salon ilimrad salon,hapo lazima ujutee
Nawaza tuu, hivi kumbe nikipodolewa naweza kuonekana binti mpaka wajukuu zangu wakashangaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…