Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa nawabambia mwanzo mwisho, then nasogeza mdomo wangu karibu na masikio yao na kuwanong'oneza "Hivi dada unafanya makusudi au?" huku nikimcheki response yake, akijibu vizuri tu huwa silazi damu anaposhuka na mimi nashuka
Na siku nikikuona kwenye mwendo kasi nitakufanyia visa ingawa msambwanda sina Nina flat screenwadada mnatufanyia makusudi mkiombwa namba hamtoi tuwe tunaheshimiana jamani na sisi tuna moyo na ukuni
Bora utegwe tu, maana vimini kuviona hadi beach[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Unaweza kutegwa na wasiojulikana Mkuu
Du zero distanxe[emoji7]Kama hivi ktk mwendokasi
![]()
Hahah! Yani unakumbatia chura kwa umbali mrefu alafu abdala kichwa wazi asimami hadi mwisho wa safari. iyo inaitwa expiriensiWanaume wa dar tumeshazoea, tunakumbatia chura mbezi mpaka posta na tunafika salama [emoji28]
tutashuka wote aiseeNa siku nikikuona kwenye mwendo kasi nitakufanyia visa ingawa msambwanda sina Nina flat screen
Hongera tajiriUmesikia hujawahi kuwaacha watu salama!!
We jamaa nyuzi zako zinasadifu umasikini wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera tajiri
uongo mchana kweupe hizo Daladala hakuna iyo Njia