Church fund 'not enough' to right slavery wrongs

Church fund 'not enough' to right slavery wrongs

Kifupi waafrika tuliteswa utumwani na wazungu na waarabu hayo makundi mawili hayawezi kwepa lawama

Sema kanisa la Anglia limeona litubu dhambi hadharani tunasubiri waarabu nai ndugu zake na akina tiptip waliobeba watumwa na kuwauza watanzania nao watoke hadharani watufidie ,wana hela waongee huko misikitini kwao watenge fungu la pesa na wao kama wenzao wa Anglican
 
Kifupi waafrika tuliteswa utumwani na wazungu na waarabu hayo makundi mawili hayawezi kwepa lawama

Sema kanisa la Anglia limeona litubu dhambi hadharani tunasubiri waarabu nai ndugu zake na akina tiptop waliobeba watumwa na kuwauza watanzania nao watoke hadharani watufidie wana hela waongee huko misikitini kwao watenge fungu la pesa na wao kama wenzao wa Anglican
kanisa la anglican linatakiwa kutubu sio kwa kutesa waumini au yeyote, bali kwa kuruhusu ushoga hadi kwa viongozi wao, hii ni kubwa na ndio ilitakiwa kutubiwa awali. makosa ya utumwa au chochote, wanapotubu ni kusafisha tu sura ya kanisa kwa wanadamu, sio kwa Mungu, kwa Mungu waleeee wa miaka ileee waliofanya makosa ndio watakuwa accountable kwa Mungu in person. huwezi kunihukumu mimi kwa kosa la babu yangu, na sitabeba mzigo wake.
 
Na hao kina Moresby waliokomesha biashara ya utumwa, walikomesha kivipi wakati iliwanufaisha? Msilete hoja ya mapinduzi ya viwanda ulaya. Historia inasema hiyo biashara ilionekana ni dhambi kwa Mungu. Tuje kwa waarabu, ilikuaje mwarabu mfanyabiasha tip tip ahusishwe na biashara ya watumwa. Naona siku za karibuni kumekuwa na kampeni ya kuwaondoa waarabu waislam katika kadhia ya biashara ya watumwa wakati historia iko wazi walihusika. Vinginevyo church of england iweke wazi mtandao mzima wa biashara ya watumwa walifanya na kina nani kama sio waarabu waislam dhidi ya waafrika
 
Kifupi waafrika tuliteswa utumwani na wazungu na waarabu hayo makundi mawili hayawezi kwepa lawama

Sema kanisa la Anglia limeona litubu dhambi hadharani tunasubiri waarabu nai ndugu zake na akina tiptop waliobeba watumwa na kuwauza watanzania nao watoke hadharani watufidie wana hela waongee huko misikitini kwao watenge fungu la pesa na wao kama wenzao wa Anglican
Ni kweli Kabisa
 
Na hao kina Moresby waliokomesha biashara ya utumwa, walikomesha kivipi wakati iliwanufaisha? Msilete hoja ya mapinduzi ya viwanda ulaya. Historia inasema hiyo biashara ilionekana ni dhambi kwa Mungu. Tuje kwa waarabu, ilikuaje mwarabu mfanyabiasha tip tip ahusishwe na biashara ya watumwa. Naona siku za karibuni kumekuwa na kampeni ya kuwaondoa waarabu waislam katika kadhia ya biashara ya watumwa wakati historia iko wazi walihusika. Vinginevyo church of england iweke wazi mtandao mzima wa biashara ya watumwa walifanya na kina nani kama sio waarabu waislam dhidi ya waafrika
Na waarabu ni makatili sana aisee
 
wazungu au waarabu walioua babu zetu walishakufa, babu zetu nao walishakufa, sisi tuombwe radhi ya nini sasa? waliotakiwa kuombwa radhi ni wale walioteswa, wewe kwani umeteswa na mzungu au mwarabu?
Hujielewi wanatakiwa kutuomba msamaha na fidia juu
Jua kwanza walichukua nguvu kazi watu wenye nguvu waliotegemewa na famila zetu wakaacha akina Mama na watoto bibi zetu.na wale wagonjwa na dhaifu wakiteseka kwa maisha magumu ambayo tumerithi hadi leo

Wacha tu kutusababishia matatizo ya kisaikolojia kwani wapendwa wetu waliowachukua hata hatujui walifia wapi hata kutupa tu taarifa za vifo vyao hadi leo hawajawahi kutupa tunabaki kusimuliwa tu kuwa babu zenu walibebwa na waarabu hapa kwa nguvu walikofia hata hatujui tunabaki kulia tu kulilia babu zetu Mimi nina uchungu wa babu zangu waliochukuliwa utumwani na waarabu hadi leo
 
wazungu au waarabu walioua babu zetu walishakufa, babu zetu nao walishakufa, sisi tuombwe radhi ya nini sasa? waliotakiwa kuombwa radhi ni wale walioteswa, wewe kwani umeteswa na mzungu au mwarabu? umeuzwa kama mtumwa? as a matter of fact, unatubu kwa mtu uliyemkosea, na mbele za Mungu kila mtu atakuwa accountable personally, waliotesa babu zetu watakuwa accountable personally, na walioteswa (ambao hakuna aliyehai hadi leo) watapata reward personally, ya nini kuweka kundi zima la watu kwenye kapu moja? wewe kama ukoo wako ni X, basi ikiwa X mmoja wenu kwenye ukoo ametenda jambo baya inamaana mmetenda ninyi nyote? au yule X atakuwa accoutable in person? hamuoni kama mnapoteza muda kujadili kitu ambacho hakitawasaidia?
Omeona unavyojichanganya?

Sio nyie wenye imani ya dhambi ya ASILI?

Sio nyie mnaodai kuna kiumbe aliuawa kifo cha laana kwa dhambi ya Adam?

Leo unageuka na kudai tusahau unyama ulioletwa na Kanisa?
Na Kuhusu Waarabu kuhusika Huo ni UONGO tuliofunzwa na Hao hao wazungu.
Leta Historia moja tu ya HAKIKA inayoa onyesha USHAHIDI kuwa WAARABU walihusika na biashara ya utumwa.
Usiseme vitu kwa kukaririshwa hii ni 2024.
Hakuna ujanja hapa.

Acha usanii. KANISA LAZIMA LISHUGHULISHWE NA LIHUKUMIWE kwa kuchuma MABILIONI YA DOLA kupitia DAMU ZA BABU ZETU.

Leo KANISA lisingehusika kuua wazee wetu mimi nisingekuwa maskini na taifa langu lisingepata changamoto km lilivyo leo.

MV JESUS imebeba Wazee wetu na kwenda kuwaua huko ULAYA.
Unataka tusamehe?

Tunajua wewe ni mfuasi wa Kanisa na HUO MSALABA lazima MUUBEBE kama KANISA LA MAUWAJI .
 
Na waarabu ni makatili sana aisee
Leta ushahidi kama huu kuwa Waarabu makatili.
Usilite ngonjera na mipasho ya Wazungu ambao walitaka kuficha UKATILI WAO kwa kusingizia Mataifa mengine

Lini umewahi kusikia wana historia wameshtaki Nchi yyt ya kiarabu kwa kuhusika na biashara ya watumwa?
Km ipo weka hapa tupate faida
 
Mungu hakuwai taka Utumwa.
Kutoka 21:16 BHN. “Amtekaye mtu nyara ili kumwuza au kumfanya mtumwa wake lazima auawe".
Muhammad(Peace should not be upon him)". Angaliishi Nchi ya wacha Mungu angelipigwa Mawe hadi kufa.
Alimilki watumwa na Mtumwa mweusi alikuwa na thamani Nusu tofauti na Watumwa wazungu na jamii zingine.
 
Leta ushahidi kama huu kuwa Waarabu makatili.
Usilite ngonjera na mipasho ya Wazungu ambao walitaka kuficha UKATILI WAO kwa kusingizia Mataifa mengine

Lini umewahi kusikia wana historia wameshtaki Nchi yyt ya kiarabu kwa kuhusika na biashara ya watumwa?
Km ipo weka hapa tupate faida
Kwa hiyo unasemaje labda waarabu hawakufanya biashara ya utumwa? Ya kutesa watu ? Masoko.ya watumwa Bagamoyo na Zanzibar na misafara ya akiba Waarabu akina tiptip.ilikuwa ya wazungu?

Wazungu wameomba msamaha bado nyie waarabu swala tano mliofanya biashara ya kuuza watumwa
 
Wahusika wakuu wa utumwa walikuwa wazungu ila MANDEVU(MWARABU) alitumika kukusanya watumwa interior nakuwapelekea sokoni(bandarin) hapo wanaponunuliwa na wazungu kupelekwa mashambani amerika na ulaya.huwezi kumwacha MWARABU WALA MZUNGU KWENYE BIASHARA HII NA HATA WAAFRIKA WENYEWE WALIHUSIKA PIA
 
Kukosa elimu na ufahamu ni hasara kubwa mno.
Alokwambia wazungu wameomba msamaha nani? Babu yako au?
Soma kwanza kabla ya kuropoka bi mkubwa.

Wazungu wameshtakiwa baada ya USHAHIDI KUKAMILIKA KUWA KANISA NDIO CHANZO CHA BIASHARA YA UTUMWA.

Hao waarabu km wanahusika Leta USHAHIDI na wao washtakiwe.
We unadhani hizo chuki zako za kimaskini zina faida yyt?

Ulimwengu wa sasa unataka EVIDENCE sio domo kaya.
KANISA limepepelezwa mpk yale MAKANISA MAKUBWA YAMEJENGWA NA WATUMWA wa KIAFRICA.

KANISA mpk leo linaendeleza Utumwa. Viongozi wake wanaishi maisha ya juu sana lkn Kondoo wanaishi km watumwa.
 
Kifupi waafrika tuliteswa utumwani na wazungu na waarabu hayo makundi mawili hayawezi kwepa lawama

Sema kanisa la Anglia limeona litubu dhambi hadharani tunasubiri waarabu nai ndugu zake na akina tiptip waliobeba watumwa na kuwauza watanzania nao watoke hadharani watufidie ,wana hela waongee huko misikitini kwao watenge fungu la pesa na wao kama wenzao wa Anglican
Watanzania siku zote mnakuwa wazembe kwenye elimu.
We aliyekudanganya KANISA limetubu ni nani?
KANISA LIMESHTAKIWA baada ya USHAHIDI KUKAMILIKA .
Sio qti wazungu wametubu.
Watubu kwa nani?
We unadhani wazungu wanamini kuna hukumu?

KANISA wanatumia kama Chombo cha Kutengeneza Hela na miradi Dunia nzima.
Na Mpk leo KANISA ni Biashara kubwa mno tena sana.
We bila kutoa fungu la 10 ukifa hawakuziki.
Kwa upande wa Waarabu Hakuna mtu yyt kufungua kesi juu yao kwa sababu HAKUNA USHAHIDI WWT WA KWELI kuwa na wao walihusika.
Sisi tumesoma kwenye Vitabu vya wazungu tu kuwa waarabu walifanya biashara ya watumwa kumbe Ni UNAFIKI MTUPU.
 
  • Nathan Standley
  • Role,BBC News
  • 4 March 2024
The £100m earmarked by the Church of England for a new investment fund to help repair damage caused by its historic links to slavery is "not enough", a report says.

It comes after an investigation last year found the Church had invested large amounts of money into a company that transported tens of thousands of slaves.

The Church welcomed the report by the Church Commissioners charity and accepted its recommendations - but would not commit to raising the fund to the report's £1bn target.

The Archbishop of Canterbury, Justin Welby, said the report was "the beginning of a multi-generational response" to the "appalling evil" of slavery.

My take.

Leo tumejifunza kuwa KANISA lilitumika sana kufanya biashara ya watumwa kutoka Africa kwenda ulaya na marekani.

Yale mauwaji yote ya Waafrika na watoto wao KANISA LEO Limeamua kutenga fungu la pesa kuficha UOVU HUO.

Waarabu walipakaziwa Uongo huu ndio maana hakuna taifa la kiarabu limeshtakiwa kwa tuhuma hizo za biashara ya watumwa.

Kweli kabisa HAKUNA SIRI IKAFICHWA MILELE.

Sisi waafrika tuseme Haleluyah. Kumbe Walituletea Uongo wao kwa lengo la kuja kutuuza kama nyanya.

ILANI:

Wale wafuasi wa hawa wazungu walioua babu zetu sitaki Mapovu hapa.

Nawasilisha.
Kanisa ni baya tusilimu.Umefurahi?
 
Wahusika wakuu wa utumwa walikuwa wazungu ila MANDEVU(MWARABU) alitumika kukusanya watumwa interior nakuwapelekea sokoni(bandarin) hapo wanaponunuliwa na wazungu kupelekwa mashambani amerika na ulaya.huwezi kumwacha MWARABU WALA MZUNGU KWENYE BIASHARA HII NA HATA WAAFRIKA WENYEWE WALIHUSIKA PIA
Kinachoniuma zaidi mimi hapa tu,yaani wapo weusi wenzetu waliona watuuze kwa weupe kwa vipande vya fedha na favour nyinginezo ndogo ndogo.

Sad!!!
 
Kifupi waafrika tuliteswa utumwani na wazungu na waarabu hayo makundi mawili hayawezi kwepa lawama

Sema kanisa la Anglia limeona litubu dhambi hadharani tunasubiri waarabu nai ndugu zake na akina tiptip waliobeba watumwa na kuwauza watanzania nao watoke hadharani watufidie ,wana hela waongee huko misikitini kwao watenge fungu la pesa na wao kama wenzao wa Anglican
Waarabu ni waislam safi hawakuhusika kabisa na biashara ya utumwa.Mzungu aliwasingizia tuu
 
Watanzania siku zote mnakuwa wazembe kwenye elimu.
We aliyekudanganya KANISA limetubu ni nani?
KANISA LIMESHTAKIWA baada ya USHAHIDI KUKAMILIKA .
Sio qti wazungu wametubu.
Watubu kwa nani?
We unadhani wazungu wanamini kuna hukumu?

KANISA wanatumia kama Chombo cha Kutengeneza Hela na miradi Dunia nzima.
Na Mpk leo KANISA ni Biashara kubwa mno tena sana.
We bila kutoa fungu la 10 ukifa hawakuziki.
Kwa upande wa Waarabu Hakuna mtu yyt kufungua kesi juu yao kwa sababu HAKUNA USHAHIDI WWT WA KWELI kuwa na wao walihusika.
Sisi tumesoma kwenye Vitabu vya wazungu tu kuwa waarabu walifanya biashara ya watumwa kumbe Ni UNAFIKI MTUPU.
The arab slave trade was characterized by appalling violence, castration, and rape. The men were systematically castrated to prevent them from reproducing and becoming a stock. This inhumane practice resulted in a high death rate: six out of 10 people who were mutilated died from their wounds in castration centers.
 
Back
Top Bottom