CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

Uhakika wa hii habari ndo maana ya credibility bro.

Kumbuka anakaribia kufa na amekuwa akitoa 'confessions' za kushangaza.
Why bob marley na sio mtu mwingine ?
Yan mzungu apoteze muda wake ku made up story alichofanya kwa mwafrika haswa bob marley
Damu isiyo ba hatia hua inakulilia tu hata hadi pale unataka kukata pumzi utasema kila kitu
 
Mkuu umesoma article yote? Soma vizuri hiyo cancer kaipataje maana kila kitu kimeelezwa.

Mbona Merley died of cancer! What I know ni kwamba there was an attempted assassination but it wasn't fatal.


I gave him a pair of Converse All Stars. Size 10. When he tried on the right shoe, he screamed out ‘OUUUCH.

That was it. His life was over right there and then. The nail in the shoe was tainted with cancer viruses and bacteria. If it pierced his skin, which it did, it was goodnight nurse.”
 
Jamaa anasema alikwenda kwenye mazoezi kwa ajili ya tamasha la mwisho kabla bob hajafa, akaingia pale kama mpiga picha mashuhuri na alikuwa amempelekea bob zawadi ya viatu aina ya All star size no. 10 na alipompa ile zawadi bob alipokuwa anajaribisha kiatu cha mguu wa kulia kuona kama kinamtosha ndipo alipochomwa na sindano iliyokuwa imewekwa kwa ndani na ilikuwa ina bacteria wa cancer.
Yan umekuja kama ilivyo Mkuu,
 
Rest in hell..... ASAP.....

Sent from my Black Diamond iPhone, $15.3mill using JamiiForums mobile app
 
Since childhood yrs I was just told Bob Marley died of cancer on his right leg at 36 age, i never knew if it was a caused cancer, never knew that the man had his life cut short by Americans, May God have mercy on you (Marley)., according to Mr Oxley CIA kills whoever seems to represent a threat over goals of the agency, I'm now starting to believe the claims that America is Satanic and it's the one that boost terroristic activities across the world....RIP Marley (freedom fighter)
 
I'm singin' that
When the cat's away
The mice will play
Political violence fill ya city, ye-ah!
Don't involve rasta in your say say
Rasta don't work for no CIA
Hiyo ndio sehemu ya nyimbo Bob Marley aliimba kwenye album yake Rat Race . Ilikuwa kuhusu CIA
 
I'm singin' that
When the cat's away
The mice will play
Political violence fill ya city, ye-ah!
Don't involve rasta in your say say
Rasta don't work for no CIA
Hiyo ndio sehemu ya nyimbo Bob Marley aliimba kwenye album yake Stop the Rat. Ilikuwa kuhusu CIA
'Rat Race'
 
I'm singin' that
When the cat's away
The mice will play
Political violence fill ya city, ye-ah!
Don't involve rasta in your say say
Rasta don't work for no CIA
Hiyo ndio sehemu ya nyimbo Bob Marley aliimba kwenye album yake Rat Race . Ilikuwa kuhusu CIA
Thats rats race bob[emoji106]
 
Back
Top Bottom